Kozi: Oil and Gas na Electrical and Electronics Engineering ipi bora?

😀😀😀

 
Kasome Electrical and Electronics Engg ina wigo mpana wa ajira hata huko kwenye Oil and Gas Industry wanahitaji hiyo fani pia
 
Wazee naomba kuuliza kati ya hizi kozi mbili Oil and gas engineering na Electrical and electronics Eng ipi soko lake LA ajira limekaa sawa baada ya kuhitimu?
Soma kitu ambacho unaweza ukajiajiri tatizo lenu mnadhani kazi zipo ww kama huna mtu mnayeajuana kuajiriwa usikuwekee kipaumbele
 
SJAONA WATU WAKIFANYA INTERNSHIP HAPA BUT I NEED TO ASK THEM NIONE KM WANAFANYA HAYO
 
Wazee naomba kuuliza kati ya hizi kozi mbili Oil and gas engineering na Electrical and electronics Eng ipi soko lake LA ajira limekaa sawa baada ya kuhitimu?
Kiukweli kama unataka una ajira ya uhakika kasomee ualimuuuuuuu ni full ajira serikalini .........

Lakini hayo maswala ya oil, gas na electrical swala la kupata ajira asilimia 100 sio uhakikaa maana kuna competition kubwa
 
Mkuu kwa mim nakushauri bora usome Electrical and Electronics Engineering ina soko pia ukimaliza kuna uwezekano mkubwa wa kuajiriwa au hta kujiajiri mim mmoja wao nimefanya hio.
Chuo gan kizuri kwa hyo koz ya electrical
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…