Kozi nzuri kwa ajili ya masomo ya arts

Kozi nzuri kwa ajili ya masomo ya arts

Asante sana brother nitafanyia kazi ushauri wako kwa makini zaidi japo mpaka sasa law ndio kozi ambayo natamani niisome

Mimi ni mvulana.

Psychology yangu haijawahi kuongopa na ndiyo maana hata wakati nafanya tu interaction na Wewe kwa muda mfupi tu niliweza kukusoma na hadi nikakutajia Kozi tatu za Kusoma nikianza na hiyo ya Law kisha Psychology na Eduacation na bahati nzuri kumbe Wewe mwenyewe umesema kuwa Kozi ya Law ndiyo unayoipenda.

Haya Kazi Kwako sasa Kijana.
 
Mkuu hivi unajua kweli hata kozi ambazo zinapewa kipaumbele na serikali kwenye mikopo?
mkopo sometimes hawaangalii caz kigezo cha kwanza mkopo ni hali ya muombaji hiyo course polojo tyuuu

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Psychology yangu haijawahi kuongopa na ndiyo maana hata wakati nafanya tu interaction na Wewe kwa muda mfupi tu niliweza kukusoma na hadi nikakutajia Kozi tatu za Kusoma nikianza na hiyo ya Law kisha Psychology na Eduacation na bahati nzuri kumbe Wewe mwenyewe umesema kuwa Kozi ya Law ndiyo unayoipenda.

Haya Kazi Kwako sasa Kijana.
Uko sahihi mkuu kwa hili kubwa ulilonisaidia leo naamini mimi pia nitakuwa msaada mkubwa kwa wenzangu umenielimisha umeelimisha wahitimu wengi wa kidato cha sita mwaka 2017

You are smart brother.
 
Akhsante sana, nisalimie Wenzako wote na hongereni kwa Kufaulu vizuri Kidato cha Sita. Wosia wangu tu kwenu ni kwamba sasa mmeshakuwa mnaenda Vyuo Vikuu hivyo ule ' Utoto ' wenu wa A Level muuache rasmi na huko muendako Kazeni buti kweli kweli. Msiwe tu Wasomi wa Vyeti bali mkawe Wasomi very pragmatic ambao Jamii kubwa ya Tanzania na ikibidi hata Afrika ya Mashariki yote itafaidika nanyi.

Mbarikiwe nyote ili muyafikie malengo yenu ya nanyi kuwa Wasomi wa Tanzania ya baadae mtusaidie kuisukuma nchi kutoka ambapo sisi tutaishia.
 
AMEN.
AMUN RA.
Kama ufaulu wako uko vizuri weka udsm au mzumbe ya kwanza!! Nakuomba usiwe na presha na loan, wala usifocus sana kwenye ajira. Maliza miaka yako mitatu au minne kwa udsm then nenda law school mwaka mmoja pale dsm then mambo yatakua mazuri!!

Kama unapenda series kwanzia leo anza na series hizi...

1.Suits
2. Boston legal
3. Scandal
4. Murder (nimeisahau jina lake lote)!!

Hasa hiyo suits na scandal zitakujenga sana!!! Kila la heri mdogo wangu!
 
Asante sana mkuu
Be blessed
 
Asante sana mkuu maana umejibu swali langu ambalo lingefuata baada ya hapa kuhusu vyuo vizuri kwa ajili ya sheria
Kuhusu series napenda sana asante kwa hizo chache za maana ambazo umenitajia hapo juu
 
Bila shaka mkuu!! Kwa law hapa kwetu ni udsm japo wao wanasoma miaka minne sijui kama wamebadilisha siku hizi!! Pia na mzumbe (hawa wanasoma miaka mitatu)!! Hivyo ndio the best kwa law!! Na kama una ufaulu mzuri nenda moja wapo kati ya hivyo!!

Ukiacha na hivyo kuna saut pia!! Japo mi nakushauri kazana upate udsm au mzumbe!

Mtu asikukatishe tamaa kuhusu ajira, jitahidi uwe smart kichwan na ujue mambo...hii ndio kinga yako!! Sio unapata A alafu ukiulizwa katiba ya tz ilitungwa lini unasema 2012 utakua unatatizo hahaha!!

Nenda kasome ndugu tena uelimike kisawa sawa!!!

Kila la heri!!
 
Asante mkuu kwa kunimulikia njia yangu natumuaini mungu atarahishisha mapito yako pia
Uwe na siku yenye amani
 
Thanks and you too be blessed by the almighty Lord God of heaven in fulfilling all your Academic dreams.
Amen. Let the mighty hand of the creator of the earth touch you in all sectors of life and become victorious in almost everything you are doing,
It has been such a nice day to interact with you brother
 
Ushauri Nina mdgo wangu amemaliza kidato Cha sita kapata ufaulu wa DEE Combi ya HGl kamaliza form six 2020 anataka asome diploma uku akitafuta point moja Yan aristi masomo mawili wazo lake Kama akipata bas aombe degeree je ili linawezekana???naombeni ushauri Mana mm Sina uzoefu
 
Akisoma Diploma
Ku reat hakuna ulazima tena
 
Back
Top Bottom