Kozi nzuri kwa ajili ya masomo ya arts

Kozi nzuri kwa ajili ya masomo ya arts

Natanguliza shukrani,

Wakuu kwa pamoja Naomba tufahamishane kozi nzuri za kusoma chuo kikuu kwa mwanafunzi aliyesoma masomo ya sanaa(arts)
Nikiwa namaanisha kwamba zile ambazo zimamuwezesha kujiajili au kupata ajira kwa wepesi na zinapewa kipaumbele hata kwenye mikopo

Natanguliza shukurani
Ardhi university
School of Architecture and Design (SADE)

Bachelor of Architecture (B. Arch)
Bachelor of Architecture in Landscape Architecture (B. Arch. LA)
Bachelor of Architecture in Interior Design (B. Arch. ID)

School of Construction Economics and Management (SCEM)
Bachelor of Science in Building Economics (B.Sc. BE)
Bachelor of Science in Construction Management (B.Sc. CM)
Bachelor of Science in Building Survey (B.Sc. BS)
Bachelor of Science in Civil Engineering (B. Sc. CE)

School of Environment Science and Technology (SEST)
Bachelor of Science in Environmental Engineering (B.Sc. EE)
Bachelor of Science in Municipal and Industrial Services Engineering (B.Sc. MISE)
Bachelor of Science in Environmental Science and Management (B.Sc. ESM)
Bachelor of Science in Environmental Laboratory Science Technology (B.Sc. ELST)

School of Urban and Regional Planning (SURP)
Bachelor of Science in Urban and Regional Planning (B.Sc. URP)
Bachelor of Science in Housing and Infrastructure Planning (B. Sc. HIP)
Bachelor of Science in Regional Development Planning (B.Sc. RDP)
Bachelor of Arts in Economics (B.A. Economics)

School of Geospatial Sciences and Technology (SGST)
Diploma in Geoinformatics (GFM4)
Bachelor of Science in Geomatics (B. Sc. Gm)
Bachelor of Science in Geoinformatics (B.Sc. Gi)
Bachelor of Science in Geodetic Sciences (B.Sc. GS)
Bachelor of Science in Information Systems Management (B.Sc. ISM)

School of Real Estates Studies (SRES)
Bachelor of Science in Land Management and Valuation (B.Sc. LMV)
Bachelor of Science in Real Estate (Finance and Investment) (B.Sc. REFI)
Bachelor of Science in Property and Facilities Management (B.Sc. PFM)
Bachelor of Science in Accounting and Finance (B.Sc. AF)
 
Mkaribishe asome sheria mkuu
Sheria itampa presha tu. Ukitegemea sheria unaweza kukaa hata miaka mitano baada ya kugraduate bado maisha ni ya kubangaiza tu. Hii sio ya kukimbilia kabisa, ukiingia inabidi tu uondoe fikra za pesa kwanza.
 
Sawa mkuu wewe unashauri nisome nini?
 
You're too inquisitive Kijana. Anyways Kaka yako nimesomea Psychology, Mass Media na Corporate Communication.
Yes brother i must be curious to know about others affairs especialy those with succes that i may be able to excel my affairs also

Thanks for your kindness
 
Kuna dogo langu anatamani kusoma Mass communication mnipe mawazo wadau, amepa two ya points 11 HGL

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Ni kweli mkuu ndio maana nimeomba ushauri kutoka kwa watu makini kama wewe ili nisije juta

Watu wote tuliopo humu JamiiForums ni makini tu Mdogo wangu na si Mimi peke yangu kama ulivyosema. Napenda sana Vijana / Mabinti wanaopenda Kusoma ili basi huko mbele Tanzania tuwe na Wasomi wengi na wazuri ambao wataweza kutatua changamoto za Kimsingi ambazo zitasaidia kuiletea maendeleo chanya nchi yetu hii nzuri.
 
Sawa mkuu wewe unashauri nisome nini?
Sijajua interest yako iko wapi, lakini kwa kukushauri tu, soma masomo au kozi za sheria. Utapata wakati mgumu lakini baadae maisha yatasonga, hutajutia uamuzi wako. Japo mwanzoni itabidi ufumbe macho kiaina.
 
Library and information science

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sijajua interest yako iko wapi, lakini kwa kukushauri tu, soma masomo au kozi za sheria. Utapata wakati mgumu lakini baadae maisha yatasonga, hutajutia uamuzi wako. Japo mwanzoni itabidi ufumbe macho kiaina.
Mimi kwakweli niko interested sana na law tangu naamua kusoma masomo ya sanaa kwa hiyo ushauri wako pia umeniongezea passion ya kutimiza ndoto yangu

Be blessed chief
 
Mimi kwakweli niko interested sana na law tangu naamua kusoma masomo ya sanaa kwa hiyo ushauri wako pia umeniongezea passion ya kutimiza ndoto yangu

Be blessed chief
Soma sheria mkuu, nakuhakikishia hutajutia uamuzi wako
 
Watu wote tuliopo humu JamiiForums ni makini tu Mdogo wangu na si Mimi peke yangu kama ulivyosema. Napenda sana Vijana / Mabinti wanaopenda Kusoma ili basi huko mbele Tanzania tuwe na Wasomi wengi na wazuri ambao wataweza kutatua changamoto za Kimsingi ambazo zitasaidia kuiletea maendeleo chanya nchi yetu hii nzuri.
Shukrani nyingi kwako brother naamini kwa kushikana mkono hivi tutafika mbali na kuleta mabadiliko chanya kwenye nchi yetu hii ya Tanzania

Thanks brother
 
Asanteni sana wadau ambao mmekwisha kunipa ushauri na wengine amba bado mnafikiria juu ya mini mchangie
 
Yes brother i must be curious to know about others affairs especialy those with succes that i may be able to excel my affairs also

Thanks for your kindness

Kwa muda mfupi tu niliofanya ' interaction ' na Wewe hapa JF nimegundua kuwa Kwanza unapenda Elimu, Kujifunza na ni Mdadisi sana hivyo nakuomba chagua moja ya hizi Kozi ambazo nakutajia hapa ili mojawapo uweze kuifanya kwani nina uhakika utaifanya vizuri na itakutoa pia Kimaisha.....
  1. Law ambapo hapa nitakushauri ujikite sana katika ama Business Law Tax Law kwani dunia ya sasa inaenda kuwa ni ya full Corporate hivyo ajira Kwako zitakuwa ni za kumwaga kutokana na demand iliyopo na itakayoendelea kuwepo.
  2. Psychology ambayo inaweza kukusaidia ukawa Counsellor mzuri tu kwa Jamii au unaweza kutumika na Makampuni mbalimbali au NGO's ambazo zinafanya sana Kazi zake na Jamii kubwa za Kitanzania na huko najua utatoka tu Kimaisha.
  3. Education ambapo hapa si tu kwamba lazima utakuwa Mwalimu bali hii Kozi itakupa maarifa mengi na ujuzi mpana ambao nina uhakika hata ukimaliza Masomo yako itakuwa rahisi sana kwako kutoka Kimaisha kwani ni Kozi ambayo ina nyanja nyingi mno za kutokea Kimaisha.
Uzuri wa hizo Kozi zote tatu ( 3 ) nilizokutajia hapo juu ni kwamba pia unaweza ukajiajiri bila matatizo na ' kutusua ' Kimaisha.

Kila la kheri na Kazi Kwako Kijana / Binti.
 
Shukrani nyingi kwako brother naamini kwa kushikana mkono hivi tutafika mbali na kuleta mabadiliko chanya kwenye nchi yetu hii ya Tanzania

Thanks brother

Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki koboG
Mungu ibariki JamiiForums

Amen / Inshaallah.
 
Kwa muda mfupi tu niliofanya ' interaction ' na Wewe hapa JF nimegundua kuwa Kwanza unapenda Elimu, Kujifunza na ni Mdadisi sana hivyo nakuomba chagua moja ya hizi Kozi ambazo nakutajia hapa ili mojawapo uweze kuifanya kwani nina uhakika utaifanya vizuri na itakutoa pia Kimaisha.....
  1. Law ambapo hapa nitakushauri ujikite sana katika ama Business Law Tax Law kwani dunia ya sasa inaenda kuwa ni ya full Corporate hivyo ajira Kwako zitakuwa ni za kumwaga kutokana na demand iliyopo na itakayoendelea kuwepo.
  2. Psychology ambayo inaweza kukusaidia ukawa Counsellor mzuri tu kwa Jamii au unaweza kutumika na Makampuni mbalimbali au NGO's ambazo zinafanya sana Kazi zake na Jamii kubwa za Kitanzania na huko najua utatoka tu Kimaisha.
  3. Education ambapo hapa si tu kwamba lazima utakuwa Mwalimu bali hii Kozi itakupa maarifa mengi na ujuzi mpana ambao nina uhakika hata ukimaliza Masomo yako itakuwa rahisi sana kwako kutoka Kimaisha kwani ni Kozi ambayo ina nyanja nyingi mno za kutokea Kimaisha.
Uzuri wa hizo Kozi zote tatu ( 3 ) nilizokutajia hapo juu ni kwamba pia unaweza ukajiajiri bila matatizo na ' kutusua ' Kimaisha.

Kila la kheri na Kazi Kwako Kijana / Binti.
Asante sana brother nitafanyia kazi ushauri wako kwa makini zaidi japo mpaka sasa law ndio kozi ambayo natamani niisome

Mimi ni mvulana.
 
Back
Top Bottom