Kozi ipi ni Bora

Kozi ipi ni Bora

Yohimbine

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2019
Posts
966
Reaction score
2,019
Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu nilikua nauliza ni Kozi ipi bora kati ya Pharmacy na Radiology interms of ajira pamoja na kujiajiri na Muda wa kusoma naongelea kwa Ngazi ya diploma na degree....
Naomba kuwasilisha
 
Kwenye afya baada ya MD inayofwata kwa soko ni pharmacy. Kama una uwezo kichwani kasome pharmacy.
 
Kama ana uwezo akasome pharmacy
Kwahiyo wanaosoma MD hawana uwezo ukilinganisha na wale wa pharmacy???
 
Back
Top Bottom