Radiology ipo ngazi ya Uzamili(Master degree)Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu nilikua nauliza ni Kozi ipi bora kati ya Pharmacy na Radiology interms of ajira pamoja na kujiajiri na Muda wa kusoma naongelea kwa Ngazi ya diploma na degree....
Naomba kuwasilisha