owk mkuu,but wanasema kuwa civil eng anamtegemea archtect ktk field zake
anamtegemea kwa lipi? sema wanategemeana na civil ina nafasi nyingi za ajira! nenda kwenye halmashauri za wilaya uone kama kuna ma-architect!
owk mkuu,but wanasema kuwa civil eng anamtegemea archtect ktk field zake
jaman je tele kwa wa diplomq inakuaj
Elezea iyo % vizuri mana kwenye industry hakuna icho kitu
Hata Engineer akiwa mfuatiliaji anaweza kaz basic za QS ambazo ndo applied kwenye valuations na preparation of bid docs. Hii haimaanishi yuko deep kama QS ambae kasomea Building Ecomics. Na hiyo ni true kwa QS kufanya valuation hizo za Highway kwa kuwa kimsingi kila mmoja ana modules au course za mwenzake kapitia. So nakubaliana nawe lakini ni sahihi kwa kila upande: Architect-Engineer- QS ( Building projects Only)
Au: Engineer-QS( Civil and Highway Projects) Japokuwa Architect anaweza kuwa anajua lakini hapa iko tofauti. Kazi nyingi za Architect ni za muonekano nadhifu na finishing za kutosha. Haitarajiwi kuona daraja lina tiles nk!
Au kama vipi soma zote mbili!:angry::angry:
anamtegemea kwa lipi? sema wanategemeana na civil ina nafasi nyingi za ajira! nenda kwenye halmashauri za wilaya uone kama kuna ma-architect!
nenda pale ardhi ulizia kuhusu architecture utaambiwa vizuri ila tambua zpo tatu na sio zote ni majengo tu
Hamna kitu hapo.
acha kuwa biased ww architect ndio mkubwa kwenye ujenzi kwenye site meeting yeye ndio msemaji wa mwisho
architect analipwa zaidi ya mara mbili au tatu ya civil
kuhusu almashauri akae almashauri kusudi chitect anaajiliwa na central gvnt so miradi yote ya almashauri inadesainiwa na yeye kw order agundue nini ar
kwani point yako nini unavyomwambia aende halmshauri
architect sio mtu wa kawaida..kwanza ni wachache ni vyuo vitatu tu vifundisha architecture....jakuna diploma wala ujinga kama certificate ni bsc tu na ni wachache....wanaringa...bado wanaitajika...wanalipwa vizuri....project moja architect anaweza kukaa miak kumi bila kupga kazi ni kula pesa mingi...kwa taarifa yako mimi ni quantity surveyor yan qs lakin namuadmire zaid architect kuliko civil ambaye tunalipwa sawa ama namzidi kabsa..wew hujui chochote kuhusu ujenzi...unakurupuka tu...jipange sana
mkuu, certificate na diploma za Architecture zinatolewa Mbeya University of Science and Technology[/okay fine wanatoa, je ni vyuo vingapi vinatoa cert. ma dip. ya civil
sasa halmashauri kuna pesa gani au kutafuta kutumbuliwa tuanamtegemea kwa lipi? sema wanategemeana na civil ina nafasi nyingi za ajira! nenda kwenye halmashauri za wilaya uone kama kuna ma-architect!
izo curriculum zimetoka mbele ndio maana unashangaasasa nashangaa mbona pale ardhi mwaka wa kwanza interior design landscape architecture na architecture yenyew wanasoma wote naskia mpk mwak wa tatu ndo wanatengana