Kozi fupi ya Linux System Administrators

ftilu

Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
13
Reaction score
1
Mahali : InCo Technologies T Ltd, Emirate House - Shekilango Road
Mda: Saa 12:30 jioni hadi 02:30 usiku; kuanzia tarehe 19 Agosti 2013
Content: Linux Essentials (LE) as per http://lpi.org
Ada: 100,000 Tshs

Itachukua siku 10.

Walengwa: Wanafunzi kutoka vyuo vikuu; waajiriwa Systems Administrator wenye kuhitaji basics za Linux na yeyote anayetaka kujiandaa na certification ya LPIC 1

Mawasiliano : training (at) incotechnologies (dot) co (dot) tz Simu 0786 711 711

Karibuni.
 
Kwa tusioelewa Linux ni softaware gani na inahisika na nini, ili kama tuko interested tu-join
 
Kwa hyo kwa cku 2nasoma masaa mangap? Na usomaj unakuaje?
Kila m2 anakuja na pc ake ama mnazo pc hapo?
 
Kwa tusioelewa Linux ni softaware gani na inahisika na nini, ili kama tuko interested tu-join

Linux ni open source distributiony inayo usika na utengenezaji wa OS kama microsoft inavyofanya but kwa linux inakuwa ni ngumu kutumia OS zake kwasababu zipo complicated sana kuzitumia but mimi natoa cd za maelekezo ya linux kwa ujumla na ofa jinsi ya kuinstall ubuntu na kuitumia
 
Kwa hyo kwa cku 2nasoma masaa mangap? Na usomaj unakuaje?
Kila m2 anakuja na pc ake ama mnazo pc hapo?

Ni masaa mawili per day. Darasa letu lina compyuta za kutosha ila bado unaruhisiwa kuleta yako at ur convenience
 

Nimefarijika sana kusikia kuwa kuna mwenzetu anaye-pioneer kufundisha watu Linux distro kama Ubuntu. Kuhusu Linux kuwa complicated it is a relative argument, ukiifananisha na windows desktop it's not a fair match; ungeifananisha na Solaris au Free BSD ingeleta maana zaidi; kwani hao ndio washindani wake kwenye dunia ya hosted solutions , virtualisation and cloud computing
 
Kwa tusioelewa Linux ni softaware gani na inahisika na nini, ili kama tuko interested tu-join

Hii kozi iko meant kwa system administrators; kama unafanya kazi yeyote inayohusiana na ku manage computers systems/networks hii session itakufaa.
 
Hii kozi iko meant kwa system administrators; kama unafanya kazi yeyote inayohusiana na ku manage computers systems/networks hii session itakufaa.

ok bro mi nipo mbali na dar but nilikuwa naitaji kama inawezekana nipate ilo darasa maana mimi in linux ni user wa kawaida na huwa naitumia kujifunza but sijamaliza kui cover sababu ina os nyingi pia naomba unisaidie hili swali maana huwa linanishinda tofauti kati ya ubuntu, lubuntu, kubuntu, xubuntu na mythubuntu
 

Ubuntu, Lubuntu, Xubuntu na Mythubuntu zinaitwa ni derivatives za linux ( Linux Distros) Tembelea distrowatch.com kupata mifano mingine zaidi ya hii. Kimsingi tofauti yake iko default desktop na applications zinazokuja packaged, some a light some heavy na huhitaji kizisoma zote kwani you can have all these installed in one OS instance
 

ipo na kwa ajil ya education purpose
inaitwa edubuntu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…