Kozi bora

Kozi bora

Abdallah iddy

New Member
Joined
Oct 26, 2016
Posts
4
Reaction score
2
Mimi no kijana was form 6 PCB natarajia kufanya mtihani was taifa may2017. Nikikaa shule na wenzangu hua tunajadiliana maswala ya kozi
Wengi was rafiki zangu wanapendelea md Mimi npo tofauti nao.Nmechunguza kuna kozi inaitwa Diagnostic Radiograph.Nmeangalia vyuo vya tz hamna ila muhas wana diploma na kwa east Africa no Uganda tu wanayo. Je wadau mnaionaje hii kozi kwa sababu nnajiaandaa vya kutosha na uwezo nnao wakihali na wazazi wanao kimali Mimi kusoma hii kozi na no miaka 3.je mnanishauri vp ipi bora kati ya hizo? Naombeni ushauri ili nisihangaike baadaye. Niwe direct
 
Ipo vizuri hiyo kozi,hata bugando wanatoa sio muhimbili tu.....
 
Ww Dogo soma,hii na tz marehemu hufa na Ndoto zake.ww soma ukifaulu ndo utuombe ushauri
Mkubwa mi nnasoma kuliko unavofkiria. Ila mtu lazima use una future co unasoma tu bila ya kuelewa unataka kua nani. Mi nmeona rafiki zangu wengi wanahangaika hawajui wanataka nni chuo. Nmeona nijue mapema ili nijipange sawa
 
Dogo kusoma sana sio kufaulu PCB imekatisha ndoto za watu wengi sana hakikisha unapata di v one otherwise jiandae kushika chaki ndugu yangu
 
Mimi no kijana was form 6 PCB natarajia kufanya mtihani was taifa may2017. Nikikaa shule na wenzangu hua tunajadiliana maswala ya kozi
Wengi was rafiki zangu wanapendelea md Mimi npo tofauti nao.Nmechunguza kuna kozi inaitwa Diagnostic Radiograph.Nmeangalia vyuo vya tz hamna ila muhas wana diploma na kwa east Africa no Uganda tu wanayo. Je wadau mnaionaje hii kozi kwa sababu nnajiaandaa vya kutosha na uwezo nnao wakihali na wazazi wanao kimali Mimi kusoma hii kozi na no miaka 3.je mnanishauri vp ipi bora kati ya hizo? Naombeni ushauri ili nisihangaike baadaye. Niwe direct

Ni kozi nzuri

Actually mi huwa naona kozi zote za afya ni nzuri kwa mtu mwenye passion ya kusaidia watu
 
Faulu kwanza ndo uombe ushauri.
Wengi wamekufa na ndoto zao kichwani
 
Kozi za afya zina mpunga na ajira uhakika

Ajira uhakika sawa ila pesa ya kawaida.Imagine medical doctor anaeanza anapata almost 1.5 before deductions wakati kuna engineers huko wanavuta 3 take home
 
Dogo nimependa sana jinsi ambavyo umeingiza falsafa ya kutafakari kwanza kabla ya kuwekeza kwenye elimu ya juu. Hii ni safi sana na kitu kipya sana kwa jamii yetu ambayo haioni elimu ni uwekezaji kama uwekezaji wowote na lazima kuifnayia uchangunuzi wa kina kuangalia kama unalipa ama la, na kwa muda gani. Utawekeza muda na fedha za wazazi wako kwenye elimu ya juu, muda huo na fedha hizo zingeweza kuwekezwa kwenye vitu vingine zingelipa kiasia gani na kwa muda gani? Hii ni dhana ya cost and benefits of forgone opportunity (ies). Hivyo basi ni vizuri kujua returns/malipo kwenye huo uwekezaji yakoje na nini faida ya kuipteza sasa ili upate faida baadaye. Wanaokwambia usome ufaulu kwanza je ukisoma na kufaulu na kukuta returns hazilipi ama zinachukua mu miaka 30 kulrudisha gharama ya uwekezaji kwenye hiyo elimu wana maana ndiyo urudi kusoma tena?
 
Back
Top Bottom