ndio tumuulize kamanda wetu
ndio tumuulize kamanda wetu
hili neno ugaidi wasilitumie kama mzaha,ugaidi sio mchezo!
Polisi wetu dhaifu
Ndio polisi wetu hawa loh!!! wanapenda kuropoka badala ya kufanya kwa weredi then watoe taarifa iliyo sahihi. hizi gues work ndizo zinafanya tuwadharau.
Asanteni Wanigeria,yamebaki matanzania na sinema za akina kova.
Sema hapana kwa ccm hapo october.

uhalifu ukifanywa na muislam ni ugaidi,ila ukifanywa na mtu wa dini nyingine ni ujambaziKwani ugaidi maana yake nini mkuu.
Hizi siasa katika mambo ya kitaalam zitatufanya kupoteza kabisa tafsiri na definition ya baadhi ya terminology.Sasa tofauti kati ya UGAIDI na UHALIFU hautakuwepo....kama ndivyo now-days hakuna uhalifu bali ni UGAIDI kote duniani.Kuna watu wachache sana hapa bongo watatufanya watanzania wote tuonekane hamnazo kabisaKamanda wa polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, amesema kuwa wale walioua askari katika tukio la jana kama sio majambazi basi ana uhakika ni magaidi! Hivyo msako mkali unaendelea sasa.
Katika hatua nyingine askari aliyejeruhiwa anaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu katika hospitali ya Temeke.
Source: ITV habari ya saa mbili