Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,899
- 4,624
Kova niiwahi kumshuhudia kwa macho yangu akichukuwa rushwa kutoka kwa mama mhindi wa duka la pombe la Mohans pale ostabay. Tena kilichonishangaza zaidi ni kuwa kova alichukua rushwa hiyo akiwa na siku chache sana toka ahamishiwe DSM kutokea Mbeya. Duka lilikuwa limevamiwa na majambazi waliopora pesa, na Kova alipotembelea pale ndicho kisa kilichompa mazingira ya kulamba rushwa.
.
.