Mmmh Mr mi wa mujini bwana japo hata ukiniambia njoo tabata lazima nikuulize napanda basi la wapi.
nilisoma vishule vingi nilianziamuhimbili pri, magereza[kisarawe primare kariakoo huko nikaingia bunge kidogo, nikamalizia na upanga primareeeeee this was ma best at the time ilikuwa juu
Ila huko ulikokutaja KOTELA umenikumbusha mbali dear maana nimesoma maeneo ya huko mi nimemiss soko la KINYANGE nilikuwa naenda kununua nyanya za kachumbari
Maringeni Primary School ndio best. Imetoa kwaya bora kwenye UMISHUMTA Wilaya ya Moshi Vijijini na mkoa wa Kilimanjaro mara kadhaa. Usafi na utanashati usiseme. Kwanza mpo humu hebu inueni mikono juu.