Kosa moja kubwa alilofanya Hayati Magufuli ni kumteua Samia kuwa mgombea Mwenza

Tatizo KABLA la JPM linapenda Wanawake weupe mno,hicho nficho kilicho mponza jamaa, kumbe alichomekwa pale na JK ili awe Delila wa kwenye bibilia.
 
Nchi ina watu ajabu sana hii yaani maisha ya dhiki na njaa aliyotupitisha yule mwehu bado kuna wapuuzi wanaona ilikuwa sawa. Alikaa miaka sita bila kuajiri, kupandisha madaraja wala kuongeza mishahara bora Mungu alimuwahi
Magufuli aliuliwa na wanaccm wenzake.

Acha kupotosha historia
 
na mushukuru Mwinyi si Raisi kwani hayo anayoyafanya Zanzibar , Kila mtu analia
Mwinyi sio mzanzibar

Kwa mara ya Pili Wazanzibar wanapata Rais ambaye ni mtanganyika.

Mtanganyika wa kwanza kuwa Rais wa Zanzibar alikuwa baba yake Hussein.
 
Mwinyi sio mzanzibar

Kwa mara ya Pili Wazanzibar wanapata Rais ambaye ni mtanganyika.

Mtanganyika wa kwanza kuwa Rais wa Zanzibar alikuwa baba yake Hussein.

Baba yake si wa kwanza , wa kwanza ni Karume senior na wa pili ni Jumbe
 
na mushukuru Mwinyi si Raisi kwani hayo anayoyafanya Zanzibar , Kila mtu analia
Maendeleo yana maumivu makubwa, ukisikia vilio hivyo, basi jua kuna njia sahihi inapitiwa na jamii. Kiongozi anayetaka kuplease kila mtu, jua hakuna kitu hapo.
 
Maendeleo yana maumivu makubwa, ukisikia vilio hivyo, basi jua kuna njia sahihi inapitiwa na jamii. Kiongozi anayetaka kuplease kila mtu, jua hakuna kitu hapo.
Si mngalimuweka Mchaga kuwa Raisi , tokea lini mtu aache kujenga kwao aje kujenga kwa wageni ?
 
Back
Top Bottom