oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
habari zenu,jamani naomba mnisaide hapa,nina my best frnd tumekua wote yani,sasa hapo katikati nilikua na misunderstandings na my boyfrnd,tulivo solve akaniambia kua huyo best na yeye walikua na deep chartngs yani beyond the shemeji chart
mm nikamwambia kua amwambie wastop n that mm nimejua,basi akamwambia,na mimi nilimchukia sana my friend kua why kanifanyia hayo yote?kwaio sikuwasiliana nae km mwezi hivi,sasa juzi nilimtxt kumsalimia na kumwambia kua tuache conflict za kijinga,and that am okey now,ndipo
akaanza kunishangaa kua kuna nini?mimi nikamweleza yale yote nilioambiwa,akabaki anashangaa na akasema atamcol huyo my boyfrnd,sasa leo kamcol wakaongea huko,nashangaa my boyfrnd ananipigia kuaniambia its over na kwamba mimi simuheshimu,sasa i dont know wat to do kwakweli

duh!!! mashosti mwapitiana mbavuni lol. ila wewe vampire ulikosea...sio kila ukweli ni habari bwana. uliambiwa ukweli na bf wako basi kulikuwa hamna shida ya wewe kwenda kumwambia frend wako kuwa tuache ugomvi wakijinga....so bf wako anaona kuwa ume betray trust yake. ...so it means kila kitu akuambiacho wewe wapeleka kwa mashoti wako
sio hivyo mzabzab,mimi nilimtumia meseji kumwambia kua tuache ugomvi yani kwa peace tuu,sio kwamba mimi nilimchamba hapana nilimwambia for good tuu,like binadamu hukosea,maana my boyfriend aliniambia kua the girl anajisikia vibaya na anaogopa kuniface ndio maana nili mtext kutaka yaishe na awe comfortable
mie najua kuwa hukumchamba...issue ni kwamba alikuambia that akijua kuwa wewe hutaenda kumwambia huyo best wako. sasa kwa kuwa mwenyewe umekiri kuwa alikuambia usimwambie basi wewe umeshindwa kumuheshimu.
alafu kwani kugombana becoz ni mwanaume tatizo vipi? sii u fighting for whats urs bana.
am not that bwana,mimi sitaki gombana na mtu kwasababu ya mapenzi,na sikua kwa kumwambia ujue niliandika hivi,'mambo?za siku?kuhusu hii misunderstanding ilio tokea mimi nipo okey,so kua na amani tuu,na kugombana kwa hii ishu ni ujinga,kwahiyo mimi nipo okey'
habari zenu,jamani naomba mnisaide hapa,nina my best frnd tumekua wote yani,sasa hapo katikati nilikua na misunderstandings na my boyfrnd,tulivo solve akaniambia kua huyo best na yeye walikua na deep chartngs yani beyond the shemeji chart
mm nikamwambia kua amwambie wastop n that mm nimejua,basi akamwambia,na mimi nilimchukia sana my friend kua why kanifanyia hayo yote?kwaio sikuwasiliana nae km mwezi hivi,sasa juzi nilimtxt kumsalimia na kumwambia kua tuache conflict za kijinga,and that am okey now,ndipo
akaanza kunishangaa kua kuna nini?mimi nikamweleza yale yote nilioambiwa,akabaki anashangaa na akasema atamcol huyo my boyfrnd,sasa leo kamcol wakaongea huko,nashangaa my boyfrnd ananipigia kuaniambia its over na kwamba mimi simuheshimu,sasa i dont know wat to do kwakweli
huyo boyfriend tupa chooni, shosti wako tupa jalalani.......wapotezee wote ila next time jifunze kumchunguza mwanaume...ukiona anatembea zipu nje kimbia.....na chunguza mashoga...wale macho juu juu waepuke...usisahau kuweka mpaka kati ya bf na mashosti