Kosa la Urusi katika vita inayoendelea

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,603
29,742
Katika vita inayoendelea baina ya NATO (kupitia Ukraine) na Urusi nimejifunza mengi. Lakini kwa umuhimu nitaweka machache japo moja ambalo ni funzo kwa Taifa lolote linalotaka kufanya legacy yake kuwa nzito nzito duniani

WASHIRIKA
Kuanguka kwa Shirikisho la Urusi USSR kulikofanywa kwa uratibu mzuri wa NATO kupitia CIA ambapo walimuandaa speeler Agent wao Mikhail Gobachev ambaye alipiti ktk chujio hadi kuwa rais wa USSR na kufanikisha kuvunja IRON WALL, kuanguka huko kulipelekea kuimarika kwa sera za ubepari duniani ambapo bila kificho Ubepari ulionekana ndiyo mrengo sahihi kwa dunia (KWA LAZIMA)

Anguko la siasa za Pestroika ulipelekea kuanguka kwa mirengo na misimamo mingi huku tasisi za kibepari za WB na IMF (hazina baraka ya mataifa ya dunia) zikitumika kulazimisha mataifa maskini hohehahe ya Asia na Afrika kufuata masharti ya KISHENZI ili wapatiwe misaada.

Tukumbuke hii historia Treaty on the Prohibition of Nuclear Weapons - Wikipedia

Hapa ndipo nilipogundua kwamba kitu kinachoitwa EU na NATO na US ni takataka zinazochafua ulimwengu. Wameendelea kujiimarisha kimkakati ili kuinyoosha dunia ifuate matakwa yao.

Kosa la Urusi na sasa China ni kwamba haijajipanga kutengeneza block yao mpya yenye kuunga mkono maslahi ya pande hizo. Urusi inachapwa na vikwazo kila kukicha na kila nchi inalazimishwa kwa mtutu kuzingatia vikwazo hivyo.

Vita ya Ukraine ni mbaya sambamba na vita vingine vimavyoendelea maeneo mbalimbali duniani. Lakini ubaya wa vita ya Ukraine ni kwa sababu maslahi ya NATO yameguswa. Maslahi ya watu wa Libya, Yemen, Syria, Iraq, Somalia, DRC, Msumbiji na kadhalika hayana thamani kama maslahi ya Ukraine kwa sababu nilizotoa hapo juu.

Ni wakati sasa Tanzania na nchi rafiki kurejesha na kuimarisha Muungano wa Nchi zisizofungamana na upande wowote.

Tuwaache wazungu wamalizane sisi tuendelèe na yetu ya msingi.

Kosa la Urusi ni kutokuwa na washirika kwenye kipindi hiki wanachopitia. Ubahili wao unawasaidia kutengeneza silaha ambazo infact zinaweza kueadhuru hata wao wenyewe
Screenshot_20220603-182116_Chrome.jpg
 
Katika vita inayoendelea baina ya NATO (kupitia Ukraine) na Urusi nimejifunza mengi. Lakini kwa umuhimu nitaweka machache japo moja ambalo ni funzo kwa Taifa lolote linalotaka kufanya legacy yake kuwa nzito nzito duniani

WASHIRIKA
Kuanguka kwa Shirikisho la Urusi USSR kulikofanywa kwa uratibu mzuri wa NATO kupitia CIA ambapo walimuandaa speeler Agent wao Mikhail Gobachev ambaye alipiti ktk chujio hadi kuwa rais wa USSR na kufanikisha kuvunja IRON WALL, kuanguka huko kulipelekea kuimarika kwa sera za ubepari duniani ambapo bila kificho Ubepari ulionekana ndiyo mrengo sahihi kwa dunia (KWA LAZIMA)

Anguko la siasa za Pestroika ulipelekea kuanguka kwa mirengo na misimamo mingi huku tasisi za kibepari za WB na IMF (hazina baraka ya mataifa ya dunia) zikitumika kulazimisha mataifa maskini hohehahe ya Asia na Afrika kufuata masharti ya KISHENZI ili wapatiwe misaada.

Tukumbuke hii historia Treaty on the Prohibition of Nuclear Weapons - Wikipedia

Hapa ndipo nilipogundua kwamba kitu kinachoitwa EU na NATO na US ni takataka zinazochafua ulimwengu. Wameendelea kujiimarisha kimkakati ili kuinyoosha dunia ifuate matakwa yao.

Kosa la Urusi na sasa China ni kwamba haijajipanga kutengeneza block yao mpya yenye kuunga mkono maslahi ya pande hizo. Urusi inachapwa na vikwazo kila kukicha na kila nchi inalazimishwa kwa mtutu kuzingatia vikwazo hivyo.

Vita ya Ukraine ni mbaya sambamba na vita vingine vimavyoendelea maeneo mbalimbali duniani. Lakini ubaya wa vita ya Ukraine ni kwa sababu maslahi ya NATO yameguswa. Maslahi ya watu wa Libya, Yemen, Syria, Iraq, Somalia, DRC, Msumbiji na kadhalika hayana thamani kama maslahi ya Ukraine kwa sababu nilizotoa hapo juu.

Ni wakati sasa Tanzania na nchi rafiki kurejesha na kuimarisha Muungano wa Nchi zisizofungamana na upande wowote.

Tuwaache wazungu wamalizane sisi tuendelèe na yetu ya msingi.

Kosa la Urusi ni kutokuwa na washirika kwenye kipindi hiki wanachopitia. Ubahili wao unawasaidia kutengeneza silaha ambazo infact zinaweza kueadhuru hata wao wenyeweView attachment 2249526
Huu ni uchambuzi au utopolo?
 
Kosa la Urusi na sasa China ni kwamba haijajipanga kutengeneza block yao mpya yenye kuunga mkono maslahi ya pande hizo. Urusi inachapwa na vikwazo kila kukicha na kila nchi inalazimishwa kwa mtutu kuzingatia vikwazo hivyo.
Kwani ule muungano wa BRICS (ambao Urusi ni mwanachama) na wao wamelazimishwa kuiwekea vikwazo Urusi ?, Je huo muungano si imara wa kuilinda Urusi na maslahi yake ?
 
Back
Top Bottom