Huna ulijualo katafti ndio ulete uzi wako sawa!!unafikri km zingetoka mfukoni mwa singasinga ungesikia story ya JR???
Na kingne kuzitoa huko zlikua ndo maana kashirikisha wez wenzie kuwagawia mgao.
As a matter of fact fedha zimetoka mfukoni mwa singasinga (PAP), nadhani wewe ndio ukafanye utafiti!
Mh!
anayekutuma hajuhi kitu muambie tunajua zaidi yake.
IPTL ilishakuwa MUFILISI na KUWEKWA chini ya RITA.
Sasa yeye kauza hisa zipi na kampuni ilishafilisiwa kwa sababu thamani yake ni ndogo kuliko madeni inayodaiwa.
Km ndo hivyo sarakasi zote znazofanyika dodoma kiti cha moto kwa majizi yooote nini chanzo chake,na vipi jr agawe pesa zake halali ktk tuhuma hzi pia jr ni mfanyabiashara toka zaman mbona hakugawa miaka ya 2000???
hayo ni mambo yake binafsi, tujikite kwenye mambo yanayohusu umma, je ana kosa lake ni nini? kuuza hisa au?
FACTS:
1. James rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado I. 3?a IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kui wapi.[/QUiOTE] wa mbili. mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza.. hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.
Iiiiik hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAUL wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ?. KPAP sio kampuni yaii umma, VIP sio kampuni ya umma.i This is purely a k sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacomi kwa mabilioni tena kupitia m ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.[/QUiOTE]I
?I
Mike is
Tumia akili ndogo.
PAP ilinunua 70% ya hisa zote kwa U$75 milioni na TZS 6 milioni. Ikiwa pesa katika account ya Escrow zilikuwa ni za IPTL kama PAP na Rugemarila wanavyodai ina maana IPTL iliyokuwa ina pesa USD 220 milioni iliuzwa kwa PAP kwa U$75 milioni na TZS 6 milioni. Hivi ni mpumbavu gani anauza USD 220 milioni kwaajili ya kupata USD 75 milioni?
Ndiyo maana wachunguzi na CAG waliona dhahiri kuwa Rugemarila alikula njama na Singasinga, wakachota USD220 milioni, Rugemarila akapewa USD 75 milioni kutoka kwenye ile USD 220 milioni ya TANESCO. Lakini ndani ya hiyo USD 75 milioni ilikuwemo pia hela ya akina Muhongo, Maswi, Lukuvi, Werema, Ngeleja, Mujulizi, Tibaijuka, Luoga, na wengine wote waliosaidia huo wizi kuwezekana.
Sina shaka kuwa ile aliyobakia nayo Singasinga USD USD 145 milioni ilikuwemo pia ya highest nation profiles. PAP hajainunua IPTL bali aliitwa ili kukamilisha wizi, na kisha aiendeshe IPTL. Hii aliyochukua Singasinga waliogawiwa hawawezi kuonekana kwenye ripoti za benki ya Mkombozi bila shaka kwa vile malipo hayakutumia mabenki ya ndani.
Huna ulijualo katafti ndio ulete uzi wako sawa!!unafikri km zingetoka mfukoni mwa singasinga ungesikia story ya JR???
Na kingne kuzitoa huko zlikua ndo maana kashirikisha wez wenzie kuwagawia I.
I
Huna ulijualo katafti ndio ulete uzi wako sawa!!unafikri km zingetoka mfukoni mwa singasinga ungesikia story ya JR???
Na kingne kuzitoa huko zlikua ndo maana kashirikisha wez wenzie kuwagawia mgao.
kuhamishwa kwa fedha toka escrow kwenda pap hakukuwa siri, tanzania nzima ilijua kuwa fedha zimehamishwa. Bot wenyewe si ndio waliosaini? Sasa hapo utalazimishaje kuwa fedha za pap ziwe za wizi?
Bado tuna jazba ktk kujadili hili swala.JAMES HANA HATIA HAPA.KAMA SINGA KACHUKUA HELA ESCROW AMBAYO BAADA YA KUUZWA HIZA ZOTE ZA IPTL PIA NI MALI YAKE PARTLY AU COMPLETELY ,AULIZWE YEYE.KAMA KUNA UKWEPAJI KODI ULIFANYIKA KWENYE MAUZO BASI HILO NDO SHAURI.YATUPASA KUKUMBUKA KUWA BADO PESA YA ESCROW HAIKUWA IMETHIBITIKA TAYARI KAMA NI MALI YA UMMA.NA HATA IKITHITIKA KTWA BEI ILIKUWA JUU,KIASI KITARUDISHWA SIO YOTE.TUSIBURUZWE NA WANASIASA.
Mtoa mada kabla sihakujibu nijibu hili swali,Kwanini Serikali inataka kuzima swala la Iptl/Escrow?Ukipata jibu nadhani utakuwa umepata jibu la hayo maswali yako
Kwani sasa James ni afisa wa serikali?Km serikali ilishirikiana na Singa kuchota hela za Escrow,wao ndo wasulubiwe, James ni innocent hapa na tutapgwa changa la macho tukiendelea ku7hupalia James.
PAP ndiyo walimlipa hizo hisa 30 kwa thamani gani?Rugemalira kauza hisa PAP sio escrow, hajalipwa na escrow kalipwa na PAP.
Mh!
anayekutuma hajuhi kitu muambie tunajua zaidi yake.
IPTL ilishakuwa MUFILISI na KUWEKWA chini ya RITA.
Sasa yeye kauza hisa zipi na kampuni ilishafilisiwa kwa sababu thamani yake ni ndogo kuliko madeni inayodaiwa.