Kosa la ponda ni lipi?

pamoja mkuu magaidi wakubwa hao.
kigoda usiimbe maneno usiyoyajua
unaweza kunipa tafsiri ya gaidi?
Nisaidie kaka am serious kuona kama watanzania nasi tuna mawazo yakushikiwa na bush
niambie gaidi ni nani?
 
Last edited by a moderator:

umewahi kujiuliza kama wewe umeyafanya yote hayo unayotaka ponda afanye? kama wewe ni mtu safi usiye na hila kwa nini umeficha/ hujafanya hayo yote na hata jina lako umeficha hapa jf?
 
mbona yapo wazi kama kuamasisha watu waandamane au sio kosa hilo:becky:
 
umewahi kujiuliza kama wewe umeyafanya yote hayo unayotaka ponda afanye? kama wewe ni mtu safi usiye na hila kwa nini umeficha/ hujafanya hayo yote na hata jina lako umeficha hapa jf?


 
Hakika uislam ameuleta kwetu mwenyezimungu mwenyewe.hauwezi kutokomezwa na mt yeyote mpaka kije kiama.frauni wewe

Mungu gani anayewatuma watu kuchoma makanisa na kuwa na vurugu ovyo ovyo. Ni MUngu wa mbinguni au ni mungu wa muscat
 
Kuna comments nyingine humu zimekosa ustaarabu na uvumilivu.. From both sides..! Mie nina ndugu wa karibu ambao ni tofauti na dini yangu.. Cha mwisho ninachokiangalia kwao ni dini.. Ningeshauri kila mwenye dini na aheshimu dini ya mwenzake..
 
unauliza kwa mujibu wa sharia au sheria?Kama ni sheria acha pilato ahukumu! Aidha ponda akishinda si atadai fidia na akishindwa akanyee debe lupango!
 
Mungu alituumba kisha akatupa maamuzi ya kuchagua imani ambayo itatuunganisha naye ili kuiona mbingu...ambacho kinanipa shida ni jinsi bianadamu anavyojipa haki kuliko mungu mwenyewe....eti huyu si wa imani yangu so hafai kuishi duniani au hafai kuwa jirani yangu....!tunakosa uvumilivu ambao mungu mwenyewe anauhitaji kutoka kwetu kwani katuumba na kutuweka duniani tuishi na hayo mapungufu yote...mungu ni higher being...ana uwezo wa kujitetea mwenyewe..
 
ugaidi na uchochezi hayo ndiyo makosa yake makuu!
 

Watu walio ende shule wana nifurahisha saaana, cjui kwa nn wengine hawatak kujua umuhimu wa elimu..chiya chibi....up more kaka!
 

Huelewi historia ya dini tulizoletewa? Huko uislam ulikoanzia wamegawanyika na wanachinjana kila siku sembuse waislam wa kariakoo. Huko alikozaliwaYesu Kristo hata hawamtambui kuwa mkombzi wao. Tafakari na chukua hatua
 

mkiambiwa hamjasoma mnalalama!
Hujui JIHAD ya west Africa in 19 century? Do you know Abdallah Bello, hajj umar and samoure toure?
 
Nadhani massage imefika, hakuna hata mmoja anaye unga mkono hoja yako. next time kabla hujaleta hoja fikiria mara mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…