PostGE2025 Kosa la Oktoba 29, 2025 tutalijutia sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,976
Reaction score
831,545
HUU SIO MKUTANO/KIKAK CHA CCM

Hawa ni waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania.

Ni wale waalimu wafia Chama( CCM DAMU), wengi wao walisimamia uchafuzi wa October 29.

Jtatu na Jnne ya week hii waliitwa Dodoma kwenye Mafunzo.

Soma kisa chote hapa chini.👇

"*Habari kiongozi.

Mimi ni Mwalimu,

Nimekuwa Mwanaccm tangu utoto wangu, wazazi wangu wamenilea vizuri katika maadili ya Chama changu, japo waligeuka baada ya mauaji ya tarehe 29 maana dada yetu wa kwanza aliuwawa kwa Risasi akiwa ametoka kupiga kura.

Hawa ni walimu wa sekondari na msingi nchi nzima nikiwepo mimi mwenyewe, nafundisha shule ya msingi sitataja jina wasije kuninasa.

Majuzi tarehe 30 na 31, mwisho wa mwezi wa tatu tuliitwa Dodoma kwa ajili ya Mafunzo.

Mafunzo yalifanyika ofisi za CCM makao makuu Dodoma.

Wakufunzi 5 walialikwa kutoa hayo mafunzo kwa hao walimu mmoja wao akiwa ni Katibu Mwenezi Mkoa wa Songwe Mwalimu Yusufu Ally Rajab.

1.Mafunzo yalipoanza siku ya kwanza tulipongezwa kwa kazi kubwa tuliyoifanya tarehe 29.10.2025, tumeambiwa tulifanya kazi nzuri sana,nikakumbuka kifo cha dadaangu, machozi yakaanza kunitoka, nikainama chini ili wasije kunishtukia.

2. Tumepewa elimu ya Itikadi ya CCM, tumeelekezwa kukilinda Chama kwa gharama yoyote ile.

3. Tumeelekezwa tuwapo Mashuleni tuwafundishe wanafunzi falsafa na Itikadi ya CCM, kwamba bila CCM nchi itaingia kwenye machafuko Makubwa.

4. Tumeambiwa tuwe watulivyo, vyeo vipo vingi, tutapewa ukuu wa shule, uafisa Elimu, uratibu na fursa zingine zikija watatukumbuka.

Nakuomba sana usije kutaja jina langu, moyo wangu hautaki tena kuendelea kushiriki hii dhambi, dada yangu aliuwawa mimi nikiwa busy kuiba kura ili CCM ishinde.

Na pia naona kabisa mimi ni sehemu ya chanzo cha Elimu nchini kuharibika maana naona hata wenzangu, tuna kiburi, walimu wengi sisi tumekuwa mstari wa mbele kuanzisha migogoro mashuleni na tumekuwa na utendaji mbovu kutokana na majivuno kuwa chama kinatulinda, na imefika hatua wenzetu wanatugopa na sisi tunaona ni sifa..."...
1775236545122.jpg
1775236541168.jpg
1775236537680.jpg
 
Hao mbwa ndo wanaua nchi kwa ujira wa buku 7 na huwaambii kitu kuhusu CCM. Hiyo taaluma imekua kama laana nchini, Wanatumika kuhalalisha mambo ya hovyo sana. Ina maana dada yake asingeuliwa na Samia bado asingeliona tatizo. huyo hajaamka bado
mfumo umekaa vibaya sana, first wanaku underpay , baada ya hapo kazi kama hizo ni ngumu kuzikataa, hali kadhalika polisi
 
HUU SIO MKUTANO/KIKAK CHA CCM

Hawa ni waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania.

Ni wale waalimu wafia Chama( CCM DAMU), wengi wao walisimamia uchafuzi wa October 29.

Jtatu na Jnne ya week hii waliitwa Dodoma kwenye Mafunzo.

Soma kisa chote hapa chini.👇

"*Habari kiongozi.

Mimi ni Mwalimu,

Nimekuwa Mwanaccm tangu utoto wangu, wazazi wangu wamenilea vizuri katika maadili ya Chama changu, japo waligeuka baada ya mauaji ya tarehe 29 maana dada yetu wa kwanza aliuwawa kwa Risasi akiwa ametoka kupiga kura.

Hawa ni walimu wa sekondari na msingi nchi nzima nikiwepo mimi mwenyewe, nafundisha shule ya msingi sitataja jina wasije kuninasa.

Majuzi tarehe 30 na 31, mwisho wa mwezi wa tatu tuliitwa Dodoma kwa ajili ya Mafunzo.

Mafunzo yalifanyika ofisi za CCM makao makuu Dodoma.

Wakufunzi 5 walialikwa kutoa hayo mafunzo kwa hao walimu mmoja wao akiwa ni Katibu Mwenezi Mkoa wa Songwe Mwalimu Yusufu Ally Rajab.

1.Mafunzo yalipoanza siku ya kwanza tulipongezwa kwa kazi kubwa tuliyoifanya tarehe 29.10.2025, tumeambiwa tulifanya kazi nzuri sana,nikakumbuka kifo cha dadaangu, machozi yakaanza kunitoka, nikainama chini ili wasije kunishtukia.

2. Tumepewa elimu ya Itikadi ya CCM, tumeelekezwa kukilinda Chama kwa gharama yoyote ile.

3. Tumeelekezwa tuwapo Mashuleni tuwafundishe wanafunzi falsafa na Itikadi ya CCM, kwamba bila CCM nchi itaingia kwenye machafuko Makubwa.

4. Tumeambiwa tuwe watulivyo, vyeo vipo vingi, tutapewa ukuu wa shule, uafisa Elimu, uratibu na fursa zingine zikija watatukumbuka.

Nakuomba sana usije kutaja jina langu, moyo wangu hautaki tena kuendelea kushiriki hii dhambi, dada yangu aliuwawa mimi nikiwa busy kuiba kura ili CCM ishinde.

Na pia naona kabisa mimi ni sehemu ya chanzo cha Elimu nchini kuharibika maana naona hata wenzangu, tuna kiburi, walimu wengi sisi tumekuwa mstari wa mbele kuanzisha migogoro mashuleni na tumekuwa na utendaji mbovu kutokana na majivuno kuwa chama kinatulinda, na imefika hatua wenzetu wanatugopa na sisi tunaona ni sifa..."...View attachment 3566914View attachment 3566915View attachment 3566916
Hili siyo tatizo la CCM, ni jamii na taifa kuwa na watu wengi wenye fikra za kitumwa. Binadamu lazima wajue tofauti ya loyalty yao na ile ya wanyama kama mbwa.
Changamoto ipo huko chini kuliko juu. Tunahitaji kwanza ukombozi wa fikra za watu wetu wakiwemo watumishi wa Uma kabla ya demokrasia kwenye siasa.
 
HUU SIO MKUTANO/KIKAK CHA CCM

Hawa ni waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania.

Ni wale waalimu wafia Chama( CCM DAMU), wengi wao walisimamia uchafuzi wa October 29.

Jtatu na Jnne ya week hii waliitwa Dodoma kwenye Mafunzo.

Soma kisa chote hapa chini.👇

"*Habari kiongozi.

Mimi ni Mwalimu,

Nimekuwa Mwanaccm tangu utoto wangu, wazazi wangu wamenilea vizuri katika maadili ya Chama changu, japo waligeuka baada ya mauaji ya tarehe 29 maana dada yetu wa kwanza aliuwawa kwa Risasi akiwa ametoka kupiga kura.

Hawa ni walimu wa sekondari na msingi nchi nzima nikiwepo mimi mwenyewe, nafundisha shule ya msingi sitataja jina wasije kuninasa.

Majuzi tarehe 30 na 31, mwisho wa mwezi wa tatu tuliitwa Dodoma kwa ajili ya Mafunzo.

Mafunzo yalifanyika ofisi za CCM makao makuu Dodoma.

Wakufunzi 5 walialikwa kutoa hayo mafunzo kwa hao walimu mmoja wao akiwa ni Katibu Mwenezi Mkoa wa Songwe Mwalimu Yusufu Ally Rajab.

1.Mafunzo yalipoanza siku ya kwanza tulipongezwa kwa kazi kubwa tuliyoifanya tarehe 29.10.2025, tumeambiwa tulifanya kazi nzuri sana,nikakumbuka kifo cha dadaangu, machozi yakaanza kunitoka, nikainama chini ili wasije kunishtukia.

2. Tumepewa elimu ya Itikadi ya CCM, tumeelekezwa kukilinda Chama kwa gharama yoyote ile.

3. Tumeelekezwa tuwapo Mashuleni tuwafundishe wanafunzi falsafa na Itikadi ya CCM, kwamba bila CCM nchi itaingia kwenye machafuko Makubwa.

4. Tumeambiwa tuwe watulivyo, vyeo vipo vingi, tutapewa ukuu wa shule, uafisa Elimu, uratibu na fursa zingine zikija watatukumbuka.

Nakuomba sana usije kutaja jina langu, moyo wangu hautaki tena kuendelea kushiriki hii dhambi, dada yangu aliuwawa mimi nikiwa busy kuiba kura ili CCM ishinde.

Na pia naona kabisa mimi ni sehemu ya chanzo cha Elimu nchini kuharibika maana naona hata wenzangu, tuna kiburi, walimu wengi sisi tumekuwa mstari wa mbele kuanzisha migogoro mashuleni na tumekuwa na utendaji mbovu kutokana na majivuno kuwa chama kinatulinda, na imefika hatua wenzetu wanatugopa na sisi tunaona ni sifa..."...View attachment 3566914View attachment 3566915View attachment 3566916
Kwani hizi picha hamjampa Larry Madowo apeleke ICC?
 
HUU SIO MKUTANO/KIKAK CHA CCM

Hawa ni waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania.
Waalimu ambao ni wana CCM, wana haki kukutana!
Nimekuwa Mwanaccm tangu utoto wangu, wazazi wangu wamenilea vizuri katika maadili ya Chama changu, japo waligeuka baada ya mauaji ya tarehe 29 maana dada yetu wa kwanza aliuwawa kwa Risasi akiwa ametoka kupiga kura.
Pole sana!, ila waliofanya mauaji hayo sio CCM!.
Nakuomba sana usije kutaja jina langu, moyo wangu hautaki tena kuendelea kushiriki hii dhambi, dada yangu aliuwawa mimi nikiwa busy kuiba kura ili CCM ishinde.
Tumia lugha ya heshima, sio kuiba, ni kuchukua na kuweka!, huwezi kuiba kitu chako mwenyewe ni unachukua tuu!.
Na pia naona kabisa mimi ni sehemu ya chanzo cha Elimu nchini kuharibika maana naona hata wenzangu, tuna kiburi, walimu wengi sisi tumekuwa mstari wa mbele kuanzisha migogoro mashuleni na tumekuwa na utendaji mbovu kutokana na majivuno kuwa chama kinatulinda, na imefika hatua wenzetu wanatugopa na sisi tunaona ni sifa..."...
Duh...!.

P
 
Back
Top Bottom