Angalia hata njia aliyopita. Very rare kwa magari ya private kupita njia ya mabasi yaendayo kasi . Hizo number plates huvalishwa kwenye magari yetu ya STL, SU, NK yanapotumika nje ya utaratibuSorry kwa kwenda nje ya mada, hilo gari mbele lenye namba T 536 AKS inawezekanaje gari mpya ya model hiyo ikawa na namba za zamani? maana nishaona mengi sana aina hizo, au ndo mashushu.
Warekebishe nini? Hayo mabasi yana milango kulia na kushoto. Kulia anapotokea hhuyo binti kuna milango iko juu kulingana na platform za vituo vyake katikati ya barabara. Kushoto kuna milango ya kawaida in case likitumia barabara za kawaida. Fanyeni uchunguzi kidogo tu kabla ya kutoa maoni.Muda wote huo waliokuwa wamepark haya magari kwanni wasingerekebisha haya yote?
Mkuu wengi humu hudandia kuchangia bila kujasusi na pia wengine wapo nje ya Dar huwa wanakurupuka kutaka kuchangia wanaitwa "Much Know"Warekebishe nini? Hayo mabasi yana milango kulia na kushoto. Kulia anapotokea hhuyo binti kuna milango iko juu kulingana na platform za vituo vyake katikati ya barabara. Kushoto kuna milango ya kawaida in case likitumia barabara za kawaida. Fanyeni uchunguzi kidogo tu kabla ya kutoa maoni.
kwahiyo anavyoshuka huyo dada wwe unaona ni sawaWarekebishe nini? Hayo mabasi yana milango kulia na kushoto. Kulia anapotokea hhuyo binti kuna milango iko juu kulingana na platform za vituo vyake katikati ya barabara. Kushoto kuna milango ya kawaida in case likitumia barabara za kawaida. Fanyeni uchunguzi kidogo tu kabla ya kutoa maoni.
Sio kosa la milango ya bus kama unavyotaka tuamini kiasi cha kuhoji kwanini hawakurekebisha siku zote hizo. Ni kosa la dereva au huyo dada kutokushuka kwenye designated platform.kwahiyo anavyoshuka huyo dada wwe unaona ni sawa
mikatabafeki jibu lako lingine hili hapa.Huyo dada ni mwandishi wa habari na hapo wako na kiongozi mkubwa wakikagua barabara, kosa ni lake kwa kushukia upande hup wakati kuna upande angeshuka vizuri tuu...
Angekuwa abiria tuu isingekuwa shida sana lakini huyu ni mwandishi angekuwa je?