Kosa la David Mwakyusa ni nini?

Kwani yeye alipaswa kuwa waziri wakati? Lazima aachie wengine nao wale keki hiyo
 
Ametemwa kwakuwa mh. Raisi hakuona sababu za kumteua.
 
Mwakyusa na waziri wa sasa Haji Mponda nani bomu?
 
<br />
<br />
Mbona kombani na mponda wanatoka wilaya moja? Au hujui?
Hivi waziri anayetoka Kigoma ni nani vile?
 
its just a matter of time!His time iz over apishe wengine
 
ningali natafakari

nakubaliana nawe hapo kwa Mwakwusa lakini Magufuli hukumtendea haki. Magufuli ni mchapa kazi muwazi na mkeli. Ndio aina ya kiongozi anayehitajika TZ sasa hivi
 
ningali natafakari

nakubaliana nawe hapo kwa Mwakwusa lakini Magufuli hukumtendea haki. Magufuli ni mchapa kazi muwazi na mkeli. Ndio aina ya kiongozi anayehitajika TZ sasa hivi
 
Mpanda ngazi Hushuka, wailopo kwenye madraka leo ngoja 2015, watahaha sana kwani kiama kinawangoja, watahukumiwa kwa maovu yao ,soma mienendo ya nyakati, usisubili muda kufika. chenye mwanzo kina mwisho, lakini mwisho hutofautiana kulingana na BUsar, Hekima na UTU DUNI wa mtu. subiri muda si mrefu utaona haya kwa macho yako mola akikujaalia. Usimtendee mwenzio ubaya, kwani ubaya hulipwa hapapa. (kumbuka hayo. fainali uzeeni?)
 
Nataka niamini unayosema kwa asilimia 98 ila huyu waziri wa sasa Mponda bado naye namuona ni muadilifu kwa kiasi fulani ila ana tatizo la kujikomba kwa JK au naye ana ubia gani na ufisadi?
 
Mimi tetesi nilizosikia ni kwamba baada ya mkulu kuanguka katika mwanzo wa kampeni zake, Mwakyusa alitaka madaktari wa rais (Dr. Janabi) wamwambie mheshimiwa anaumwa nini. Kama nilivyosema, ni tetesi, sina uthibitisho.
 
Jaman,mavi ya kale hayanuki, hivi huyu mkuu ni nini hasa kilimsibu,hadi kupigwa chini? Nimekutana naye kona fulani, nikajiwa na tashwishwi ya kulikoni ,labda nikadhani ni mzee wa visasi alimpiga panga..
 
Nina imani utayakana haya uliyoyasema kuwa JPM ni mtu wa MISIFA
 
CCM haitaki watu wenye akili , inataka magalasa au vichaa wanaopima urefu wa samaki hata kwenye mchuzi
 
Nina imani utayakana haya uliyoyasema kuwa JPM ni mtu wa MISIFA
Mkuu Kidadari, nimeyakana, sio mtu wa misifa, ni mtu low profile, very humble, down to earth.
Umeridhika?.
Tuendelee na maisha.
P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…