magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,337
Wanabodi,
Yanayoendelea leo kati ya serikali na upinzani,ni matokeo ya makosa waliyofanya chadema ya kumchukua lowassa na kumpa nafasi ya kugombea.
Kitendo cha serikali kuwapa nafasi akina Muhongo,chenge nk. Ni majibu kwa chadema kutokana na kosa la kumpokea lowassa ambae alikuwa na tuhuma sawa na akina chenge.
Hili wanachadema lazima tukubali tulifanya kosa,leo hata ujasiri wa kusema bunge limechagua mwenyekiti wa bunge fisadi tunakosa. Tuseme ukweli tu,bila kujali km lowassa alikuwa mtu safi au la,ukweli kwa kashfa za lowassa hakustahili kuwa mgombea wa chadema. Hakuna njia nyingine ya kuaminika kwa umma,zaidi ya kuukiri huu ukweli. Tukubali wanachadema kujitumbua,hili la lowassa ni jipu..!