Kosa kubwa la kikwete!

Kosa kubwa la kikwete!

ngege

Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Huu ni mtazamo wangu utawala wa kikwete ni wa kipole sana kwan mpaka sasa hivi hatusikii watu kupigwa exile yaani kuhamishwa nje kwa nguv. ndo mana kila mtu anaibuka na kuanzish falsafa yake japo bwana kaya ameonyesha msimamo wake katika kuendesha taifa hapa imekaaje?

Bwana kaya na wewe amka hawa wasakatonge wasitusumbue nchini na kuivuruga amani.
 
Hatapatikana rais kama kikwete katika taifa hili ni marais wachache sana wanaotoa fulsa za watu kusema wanalo taka ambapo walio wajinga wanatumia vibaya uhuru huo kwa kutukana na kufanya fujo.
 
Huu ni mtazamo wangu utawala wa kikwete ni wa kipole sana kwan mpaka sasa hivi hatusikii watu kupigwa exile yaani kuhamishwa nje kwa nguv. ndo mana kila mtu anaibuka na kuanzish falsafa yake japo bwana kaya ameonyesha msimamo wake katika kuendesha taifa hapa imekaaje?

Bwana kaya na wewe amka hawa wasakatonge wasitusumbue nchini na kuivuruga amani.
Uko sawa mkuu jk ni mtu wa diplomasia anapenda watu kuwa huru na kuonesha hisia zao lakini kwa vile taifa hili wanasiasa wengi ni wehu wanatumia vibaya uhuru waliopewa lakini baada mwaka mmoja tu uhuru kama huu hawataupata tena watamkumbuka sana jk.
 
Hatapatikana rais kama kikwete katika taifa hili ni marais wachache sana wanaotoa fulsa za watu kusema wanalo taka ambapo walio wengine wanatumia vibaya uhuru huo kwa kutukana na kufanya fujo.

Acha kutukana watu,una elimu kiasi gani hadi umuone lisu mjinga
 
Hatapatikana rais kama kikwete katika taifa hili ni marais wachache sana wanaotoa fulsa za watu kusema wanalo taka ambapo wengine wanatumia vibaya uhuru huo kwa kutukana na kufanya fujo.
...na Lukuvi pia!
Ni vizuri watu wanapotumia uhuru huu kuongea UKWELI na sio uongo na kashfa zaubaguzi!

Hatapatikana rais kama kikwete katika taifa hili ni marais wachache sana wanaotoa fulsa za watu kusema wanalo taka ambapo walio wajinga kama Lisu na wengine wanatumia vibaya uhuru huo kwa kutukana na kufanya fujo.

CC.Babu Seya.
 
Chini ya uongozi wake wakina Babu Seya na mwanae wanaozea jela; wakina Ulimboka wameteswa na kutupwa MABWE Pande; wauza madawa ya kulevya na majangili wamelindwa!!!
 
Chini ya uongozi wake wakina Babu Seya na mwanae wanaozea jela; wakina Ulimboka wameteswa na kutupwa MABWE Pande; wauza madawa ya kulevya na majangili wamelindwa!!!

Diplomasia hiyo
 
Huu ni mtazamo wangu utawala wa kikwete ni wa kipole sana kwan mpaka sasa hivi hatusikii watu kupigwa exile yaani kuhamishwa nje kwa nguv. ndo mana kila mtu anaibuka na kuanzish falsafa yake japo bwana kaya ameonyesha msimamo wake katika kuendesha taifa hapa imekaaje?

Bwana kaya na wewe amka hawa wasakatonge wasitusumbue nchini na kuivuruga amani.

hao wasaka tonge ni wepi tena? Au maswaiba wake na wanasisiemu wenzake anaowalinda kwa kodi zetu na kuendekeza ufisadi? Ni heri Mzee Madiba aliyewasamehe makaburu kuliko yeye aliyewasamehe wezi wa epa na waua tembo. Sijawahi ona uongozi wa aina hii toka nizaliwe na hata kwenye kumbukumbu za waliowahi kuwa marais sijaona! Sijui anaogopa nini huyu mtu kufanya maamuzi magumu. Naamini ipo siku atawabebea msalaba wa anaowakingia kifua!
 
Back
Top Bottom