Kwangu mimi nafikiri kosa kubwa CCM walilofanya ni kuleta uhuru wa kupitiliza, sasa hivi kila takataka anafikiri ana haki ya kuongea na kusikilizwa, nashauri Serikali ifute huu Uhuru Mara moja na turudi kwenye udikteta, sio lazima kila Ngedele asikilizwe, wenye uwezo tu wachache ndio wawasemee wengi, na waliobaki wafwate amri tu ana kufanya kazi basi!
Mkuu ndani yako kunahoja yawezekana kabisa uhuru umezidi.Kwangu mimi nafikiri kosa kubwa CCM walilofanya ni kuleta uhuru wa kupitiliza, sasa hivi kila takataka anafikiri ana haki ya kuongea na kusikilizwa, nashauri Serikali ifute huu Uhuru Mara moja na turudi kwenye udikteta, sio lazima kila Ngedele asikilizwe, wenye uwezo tu wachache ndio wawasemee wengi, na waliobaki wafwate amri tu ana kufanya kazi basi!
Mkuu unaona kutukana ni bonge la ujajanja au siyo.Kilanza wewe acha kuleta upuuzi hapa si ajabu watakuwa wamekuliberali kwanza ufe katika jina la yesu ili uondoe laana diniani f.la wewr
Hayo ndiyo maono ya CCM. Siku zote wanaamini kwamba watu wengine si watanzania; ndiyo maana utaona watu wakienda kwenye mikutano yao wanasema watanzania wametukubali, lakini mikutano ya CHADEMA ikijaa utasikia maneno kibao ya dharau, kana kwamba hao waliokwenda kwenye mikutano ya CHADEMA si watanzania kama wale wanaokwenda kwenye mikutano ya CCM. Hii divide and rule approach wanayokuja nao CCM ni ya hatari sana kwenye mtakabari wa taifa letu ambalo Nyerere alifanya kazi ya ziada ya kujanga umoja kati ya watanzania.Hii imekaa vizuri, Yaani kumbe katika wananchi wa Tanzania kuna tabaka ambalo ni Ngedere?. Sikujua hilo umenifumbua macho.
serikali sikivu haisikilizi ngedere ila kauli za wachache. kweli kauli ya ccm nimeitimiliza leo iliyokuwa ikisema CCM INA WENYEWE NA WENYEWE NI KAMA SISI. NIlikuwa nawatafuta wenyewe sasa nishawajua.
Watanzania - Ngedere = wanaoweza kusikilizwa na kuwakilisha wengine.
Kwangu mimi nafikiri kosa kubwa CCM walilofanya ni kuleta uhuru wa kupitiliza, sasa hivi kila takataka anafikiri ana haki ya kuongea na kusikilizwa, nashauri Serikali ifute huu Uhuru Mara moja na turudi kwenye udikteta, sio lazima kila Ngedele asikilizwe, wenye uwezo tu wachache ndio wawasemee wengi, na waliobaki wafwate amri tu ana kufanya kazi basi!
Pombe zikikuisha kichwani utafikiri sawasawa...Kwangu mimi nafikiri kosa kubwa CCM walilofanya ni kuleta uhuru wa kupitiliza, sasa hivi kila takataka anafikiri ana haki ya kuongea na kusikilizwa, nashauri Serikali ifute huu Uhuru Mara moja na turudi kwenye udikteta, sio lazima kila Ngedele asikilizwe, wenye uwezo tu wachache ndio wawasemee wengi, na waliobaki wafwate amri tu ana kufanya kazi basi!
What a rubbish!!!Kwangu mimi nafikiri kosa kubwa CCM walilofanya ni kuleta uhuru wa kupitiliza, sasa hivi kila takataka anafikiri ana haki ya kuongea na kusikilizwa, nashauri Serikali ifute huu Uhuru Mara moja na turudi kwenye udikteta, sio lazima kila Ngedele asikilizwe, wenye uwezo tu wachache ndio wawasemee wengi, na waliobaki wafwate amri tu ana kufanya kazi basi!
Kwangu mimi nafikiri kosa kubwa CCM walilofanya ni kuleta uhuru wa kupitiliza, sasa hivi kila takataka anafikiri ana haki ya kuongea na kusikilizwa, nashauri Serikali ifute huu Uhuru Mara moja na turudi kwenye udikteta, sio lazima kila Ngedele asikilizwe, wenye uwezo tu wachache ndio wawasemee wengi, na waliobaki wafwate amri tu ana kufanya kazi basi!
Kwangu mimi nafikiri kosa kubwa CCM walilofanya ni kuleta uhuru wa kupitiliza, sasa hivi kila takataka anafikiri ana haki ya kuongea na kusikilizwa, nashauri Serikali ifute huu Uhuru Mara moja na turudi kwenye udikteta, sio lazima kila Ngedele asikilizwe, wenye uwezo tu wachache ndio wawasemee wengi, na waliobaki wafwate amri tu ana kufanya kazi basi!
Mkuu unaona kutukana ni bonge la ujajanja au siyo.
We mtu,jipeleke mwenyewe Mirembe,ili wakucheck ubongo wako.Kwangu mimi nafikiri kosa kubwa CCM walilofanya ni kuleta uhuru wa kupitiliza, sasa hivi kila takataka anafikiri ana haki ya kuongea na kusikilizwa, nashauri Serikali ifute huu Uhuru Mara moja na turudi kwenye udikteta, sio lazima kila Ngedele asikilizwe, wenye uwezo tu wachache ndio wawasemee wengi, na waliobaki wafwate amri tu ana kufanya kazi basi!