Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

Taja sababu kwa nini Google Pixel ni bora kuliko Samsung, tuanze kuzichambua
King of software usifananishe na vioo vya kijani ,samsung zina teknolojia ya zamani ,kawekeza kwenye hardwares.

Ili huyo Samsung afanye kazi lazima apate huduma za Google , Google pixel ni level nyingine ... Google teknolojia yake ya IA ni level nyingine ,inafunika takataka zote za Samsung.

Kumbuka Google pixel zinauzwa kuputia thirdy party companies na vendors ,hawana promote ila uwezo unajieleza.
 
Mimi natumia Google pixel kwa sasa ,siwezi kutumia Samsung wala iPhone...Bahati nzuri nilishawahi kuletewa Iphone miaka ya nyuma nikauza .

Sijawahi kupenda hizo simu niwe mkweli ,simu nimewahi kutumia ni HTC ,Tecno na Huawei P20 ,nothing bila ya kupata dhambi ...Nitatumia pixel mpaka ije brand nyingine ya kichina ....Napenda hii simu kwa sababu ina vitu vingi sana ,chaji haina usaliti kwa sana .
Unaonekana mtoto mdogo, hujui utendalo. ukikua utaacha
 
Unaonekana mtoto mdogo, hujui utendalo. ukikua utaacha
Bado kijana mdogo unababaika na mavioo ya kijani ..Ukija na point tofauti na hizi nitakupa darasa ,nilishakuwa fundi simu najua kila kitu.

Utakuja na ushamba wa processor ,sijui vioo bora 😂😂launcher ,Ui ambazo nyingine zinatolewa na huyo Google ..Nakupiga tu user interface ya Google pixel huyo Samsung akacheza...Naweza kuchambua hiyo Samsung mpaka ukalia ,zipo ubora sawa na Tecno za kisasa ,yote ni processor za snapdragon unataka kubisha.
 
ipi hiyo maana mimi natumia pixel mwaka na zaidi haijawahi sumbua
Hao wazee wa propaganda ,wanazungumzika Samsung ambayo ukiupdate inaleta matatizo ..Simu za Samsung mpaka zinarudishwa kwa kuharibika hovyo ,unaupdate huku kioo kinasumbua 😂😂😂kinatoka mistari ..Eti simu mtu unanunua mil 2 na ushee halafu Uis sio stable ,kitu kidogo linastack na kusumbua kisa update mpya ...Kabaki jina ,chaji nalo ni tatizo .
 
King of software usifananishe na vioo vya kijani ,samsung zina teknolojia ya zamani ,kawekeza kwenye hardwares.

Ili huyo Samsung afanye kazi lazima apate huduma za Google , Google pixel ni level nyingine ... Google teknolojia yake ya IA ni level nyingine ,inafunika takataka zote za Samsung.

Kumbuka Google pixel zinauzwa kuputia thirdy party companies na vendors ,hawana promote ila uwezo unajieleza.
AI gani unaongelea. GSMArena walifanya comparison kwenye AI photo and video editing kati ya Samsung, iPhone, Xiaomi na Google Pixel na karibia kila scenario Samsung inashinda. Google Pixel ilikuwa inafanya vibaya sehemu nyingi. Soma hii article

King of software kwenye kipi? Simplicity?? It sounds like "lack of features" in disguise for me
Software ya Samsung ina karibia kila kitu ambacho Pixel inayo na Samsung inaenda mbali zaidi kwenye customization na Samsung DeX pia. Vitu ambavyo kwa Pixel ni ndoto ya mchana. Unaijua app inayoitwa Goodlock ya kwenye Samsung? Inafanya vitu vingi ambavyo 90% kwenye Pixel huwezi fanya
Unataka kujua inafanya nini? Jionee mwenyewe

View: https://youtu.be/ECOvFJMIsNk?si=GaSd8bUoPbH_zBL6

Halafu huduma za Google nayo ni hoja? Kwenye Samsung unapata huduma zote za Google kama tu Google Pixel na bado unapata huduma za Samsung pia, huoni raha kuwa na choices mbili. Iwe unapenda Samsung services au Google services mfano Samsung Messages vs Google Messages
Kweny Samsung unapata zote, kwenye Pixel ni hiyo Google Messages tu ambayo hata kwenye Samsung ipo

Unasema Google Pixel ni bora kuliko Samsung. In which aspect exactly bado hujatoa hoja yenye mashiko
 
Bado kijana mdogo unababaika na mavioo ya kijani ..Ukija na point tofauti na hizi nitakupa darasa ,nilishakuwa fundi simu najua kila kitu.

Utakuja na ushamba wa processor ,sijui vioo bora 😂😂launcher ,Ui ambazo nyingine zinatolewa na huyo Google ..Nakupiga tu user interface ya Google pixel huyo Samsung akacheza...Naweza kuchambua hiyo Samsung mpaka ukalia ,zipo ubora sawa na Tecno za kisasa ,yote ni processor za snapdragon unataka kubisha.
Unataka tuongelee mistari ya kijani? Haya hizi ni Google Pixel zimepata greenlines kwenye vioo
Screenshot_2025-07-21-21-33-28-201_com.google.android.googlequicksearchbox.png
Screenshot_2025-07-21-21-33-42-803_com.google.android.googlequicksearchbox.png
thread-271949898-12819298897365521493.jpg
Google-Pixel-8-Pro-Green-Line-Issue-scaled.jpg

Kama ikitokea huamini kuwa hizo ni Pixel, sema nizidi kukuletea proof
 
AI gani unaongelea. GSMArena walifanya comparison kwenye AI photo and video editing kati ya Samsung, iPhone, Xiaomi na Google Pixel na karibia kila scenario Samsung inashinda. Google Pixel ilikuwa inafanya vibaya sehemu nyingi. Soma hii article

King of software kwenye kipi? Simplicity?? It sounds like "lack of features" in disguise for me
Software ya Samsung ina karibia kila kitu ambacho Pixel inayo na Samsung inaenda mbali zaidi kwenye customization na Samsung DeX pia. Vitu ambavyo kwa Pixel ni ndoto ya mchana. Unaijua app inayoitwa Goodlock ya kwenye Samsung? Inafanya vitu vingi ambavyo 90% kwenye Pixel huwezi fanya
Unataka kujua inafanya nini? Jionee mwenyewe

View: https://youtu.be/ECOvFJMIsNk?si=GaSd8bUoPbH_zBL6

Halafu huduma za Google nayo ni hoja? Kwenye Samsung unapata huduma zote za Google kama tu Google Pixel na bado unapata huduma za Samsung pia, huoni raha kuwa na choices mbili. Iwe unapenda Samsung services au Google services mfano Samsung Messages vs Google Messages
Kweny Samsung unapata zote, kwenye Pixel ni hiyo Google Messages tu ambayo hata kwenye Samsung ipo

Unasema Google Pixel ni bora kuliko Samsung. In which aspect exactly bado hujatoa hoja yenye mashiko

Software ambazo unaongelea ,kwanza bugs kibao inakuja na apps za uchafu nyingi ,nyingine hazitoki unaweza kujikuta unatumia apps mbili kweny simu moja😂😂.

Unaweka huku update ,kioo kinaleta shida ..
lazima ukacopy hamna unachojua ... Google pixel ni king wa software ,hizo hardware zako piga chini ,unaongelea vitu vya kufikirisha ila ukweli unaonekana

Hayo mabomu yalirudishwa kwa kuzingua kioo😂😂😂..Huduma unasema ni hoja ,wakati Samsung yuko hapo sababu ya Google ,acha kudanganya watu , Samsung hana kitu cha kumzidi google kwenye ubora wa simu ..Kinachompa limit Google ni kuharibu soko kwa sababu yeye anauza kwa third party companies na vendor , hautumii jina la moja kwa moja ..Simu zake zinaweza kuuzwa hata na kampuni ya Samsung kama ulikuwa hujui ...


Just imagine jamaa kaingia sokoni na watu wanajua , investment ya Google iko mbali sana kwenye AI ambapo Samsung bado sana anajitafuta sana kuweka kuhimili adroid zijazo😂😂zitakuja kuzima hizo simu .... Teknolojia ndio kila kitu kama alivyoachwa Nokia ,kipind hiko huyo Samsung hafiki hata robo ya market share ya Nokia ,watu tunaona hapa... Iphone anayetegemea camera za Samsung sasa yuko kweny project indingo ya Adobe ,inatoa picha clear kwa teknolojia zaidi sio haya mambo yako ...Sasa ni AI amka utakojoa.
 
Sasa ndugu mleta mada, unasema Pixel itatishia soko la Samsung
Ni kwamba hujui kuwa kwenye market share Google Pixel ipo kwenye kundi la Unknown 😂😂View attachment 3413447
Shule ni muhimu ,Google pixel zinauzwa kupitia third party na vendors ...Hata Samsung wanaweza kuziuza ..Soma kwanza mzee wa vioo vya kijani
 
Software ambazo unaongelea ,kwanza bugs kibao inakuja na apps za uchafu nyingi ,nyingine hazitoki unaweza kujikuta unatumia apps mbili kweny simu moja😂😂.

Unaweka huku update ,kioo kinaleta shida ..
lazima ukacopy hamna unachojua ... Google pixel ni king wa software ,hizo hardware zako piga chini ,unaongelea vitu vya kufikirisha ila ukweli unaonekana

Hayo mabomu yalirudishwa kwa kuzingua kioo😂😂😂..Huduma unasema ni hoja ,wakati Samsung yuko hapo sababu ya Google ,acha kudanganya watu , Samsung hana kitu cha kumzidi google kwenye ubora wa simu ..Kinachompa limit Google ni kuharibu soko kwa sababu yeye anauza kwa third party companies na vendor , hautumii jina la moja kwa moja ..Simu zake zinaweza kuuzwa hata na kampuni ya Samsung kama ulikuwa hujui ...


Just imagine jamaa kaingia sokoni na watu wanajua , investment ya Google iko mbali sana kwenye AI ambapo Samsung bado sana anajitafuta sana kuweka kuhimili adroid zijazo😂😂zitakuja kuzima hizo simu .... Teknolojia ndio kila kitu kama alivyoachwa Nokia ,kipind hiko huyo Samsung hafiki hata robo ya market share ya Nokia ,watu tunaona hapa... Iphone anayetegemea camera za Samsung sasa yuko kweny project indingo ya Adobe ,inatoa picha clear kwa teknolojia zaidi sio haya mambo yako ...Sasa ni AI amka utakojoa.
Yani nimekuwekea link ya GSMArena inayoonesha jinsi Galaxy AI ilivyo superior kuliko hiyo ya Google halafu wewe unairuka unajifanya hujaiona?
Huwezi kukimbia point kirahisi hivyo. Naiweka tena soma hapa, safari hii usiignore
 
Kwenye soko la dunia google pixel mchumba tu
Samsung
iPhone
Xiaomi
Vivo
Oppo
Transsion (Infinix & Tecno)
​
Google pixel zinauzwa kupitia third party ,hazina brand moja ...Inaweza kwenye share za brand fulani zikauzwa na zao ...Tambua hilo .
 
Yani nimekuwekea link ya GSMArena inayoonesha jinsi Galaxy AI ilivyo superior kuliko hiyo ya Google halafu wewe unairuka unajifanya hujaiona?
Huwezi kukimbia point kirahisi hivyo. Naiweka tena soma hapa, safari hii usiignore
1000122037.png



Hakuna mjinga wa kudamdanya labda atoke kijijini ,huko mimi ni fundi simu ..Hayo Masamsung ni bomu ,simu la mil 2 inatoka mistari kisa update ...Imetoka ile trash ya kwanza niupdatw fresh mapaka pixel 6 ,nyie takataka zenu za kijani zinatoa mistari😂😂🥲
 
Sasa ndugu mleta mada, unasema Pixel itatishia soko la Samsung
Ni kwamba hujui kuwa kwenye market share Google Pixel ipo kwenye kundi la Unknown 😂😂View attachment 3413447
Hakuna kitu kinaitwa unknown kwenye biashara

Baada ya Xiaomi ni Oppo ikifuatiwa na Vivo

Google pixel hana lolote kwenye dunia hii ya ulimwengu wa simu
​
 
Samsung baada ya kushika soko kwa muda mrefu wakajisahau na kuona wanaweza kufanya wanachojisikia sokoni , google pixel wakaja wakawapiga bao na sasa vijana wengi hupendelea zaidi kuliko Samsung.

Ona mbaka nasahau kusalimia , Habari gani mwanakidigitali ?

Naitwa Baraka Mkisi mnazi wa taknolojia hasa kwa upande wa Simu na Laptop , nasaidia wafanyabiashara ,makampuni au watu binafsi kuwafanyia manunuzi katika soko la kariakoo ,tangu mwaka 2018.

Nipo kariakoo mtaa wa aggrey na msimbazi au unaweza kututafuta instagram ,facebook na tiktok kama SIMUKIDIGITALI au piga/WhatsApp 0757468193 NB: ...... Nadeal na bidhaa original tu.

Ilikuwa Agost 2 , 2016 Samsung ili isimamisha dunia baada ya kuzindua simu yake ya Samsung Note 7.
Tangazo la simu hii lilileta matumaini mapya kwa wanzi wa samsung huku wengi walibaki kuisubiri kwa hamu ili ianze kuuzwa.

Muitikio wa wateja.....

Simu hii ilipata muitikio mkubwa sana duniani kote kila mtu aliisifia simu hii kwa ubora wake tarifa zikaenea duniani kote kila mtu alitamani kumiliki samsung Note 7.

.........ghafla stori ya simu hii ikabalika na pengine kuwa simu ambayo iliwatia hasara samsung na kuchukiwa na watu wengi sana sana na wengine wakawa wanaogopa sana.

Najua unajiuliza kilitokea nini .....swali zuri !

Taarifa potoshi zikaanza ghafla kuenea kuwa Samsung wamekuja na mpango wa siri wa kuua watu kupitia simu hizi kutokana na kulipuka ghafla inapopata moto au kuwekwa kwenye chaji.

Taarifa hizi zilipigwa vikali na samsung huku wakiweka wazi kuwa haikuwa na lengo la makusudi la watumiaji wa simu hizi kuuwawa bali yalitokea makosa madogo hasa walipo kuwa wanatengeneza mfumo wake wa battery ambayo ni aima ya LITHIUM ION BATTERIES .

Ukubwa wa Tatizo......
Japo simu hizi hazikufanya madhara makubwa sana lakini kutokana na kuenea kwa kasi taarifa zake zilikuza tatizo hili na kuonekana kubwa zaidi .

kwa mujibu wa Mtandao wa Google kesi takribani 55 ziliripotiwa kuwa ni kubwa ambapo nyumba na magari yalilipuka kutokana na simu hizi huku kesi 26 ziliripotiwa watu kulipukiwa moja na kupata madhara ya kuungua , lakini hakuna kifo kilicho ripotiwa.

............Madhara ya moja kwa moja.
samsung waliamuliwa kurudisha kiwandani simu zaidi ya millioni 2 na laki 5 na hawakuendelea tena na uzalishaji huku wakipata reputation mbaya kuhusu ubora wa simu zao.

Ujio wa google pixel
Baada ya samsung kupoteza uaminifu sokoni google ikabidi itumie fursa ipasavyo.....
mnamo october 4 2016 google walitambukisha simu yake ya kwanza .

simu hizi zilionekana kuwa na ubora wa hali ya juu na yenye kuzingatia viwango vyote , kwa tahadhari zaidi ili kuepusha over heating wakaiwekea na program maalumu ya kujizima mbaka ipoe ndipo itawaka.

Hii Inakuaje? soma kwa makini maana kuna kesi nyingin sana hapa maana watanzania wengi hufikiria kuwa ni simu mbovu lakini sio kweli ni kukosa uelewa.

ukiwa unaitumia simu ya google hasa ikiwa inapata joto la moja kwa moja kutoka nje yaani karibu na moto au jua kali (hasa kushoot video) , huwa inatoa alama ya WARNING kukutaarifu kuwa simu yako inapata moto kupita kawaida . Hiyo warning huja hadi mara 3 usipo chukua hatua ya kuizima hadi mara 3 huwa inajizima yenyewe automatic na huwaka baada ya kupoa.

hivyo mwanakidigitali simu ikifanya hivyo sio mbovu bali imewekwa makusudi kulinda afya yako na simu yako, nimewaelekeza watejawangu wengi suala hili na sasa wanaelewa vyema.

.........Samsung inapigwa bao.
Google pixel baada ya kuhakikishia usalama watumiajiwake ilipata umaarufu wa ghafla hasa nchini marekani na duniani kote na sasa wamekuja kuwa washindani wakubwa sokoni lakini samsung kwa sababu ya wakongwe na wamediversfy sana simu zao wana win soko kubwa hasa kwa nchi za Afrika.

Pengine hautaona tena makala zangu mtandaoni , leo umekutana na bahati tu .... usiache fursa hii ikupite huwa natoa makala kama hizi mara kadhaa kupitia group langu WhatsApp na ofa kibao za simu na Laptop.

save namba yangu sasa 0757468193 kisha nitext whatsApp ujifunze kupitia status na group iwapo utahitaji pia nauza simu original na Genuine tu. tupo k koo aggrey unaweza kutucheki kwenye mitandao yetu mbali mbali tunatumia SIMUKIDIGITALI.

Je , ni simu kutoka kampuni gani unapenda zaidi? SAMSUNG au GOOGLE PIXEL ?​
Google pixel ukuitoa kamera inabaki kuwa ni calculator za casio, simu gani ukifungua settings panel bila hata kuscrow down unakuwa tayari ushaimaliza yote
 
Back
Top Bottom