Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

Barakha John

Member
Joined
Sep 24, 2024
Posts
40
Reaction score
124
Samsung baada ya kushika soko kwa muda mrefu wakajisahau na kuona wanaweza kufanya wanachojisikia sokoni , google pixel wakaja wakawapiga bao na sasa vijana wengi hupendelea zaidi kuliko Samsung.

Ona mbaka nasahau kusalimia , Habari gani mwanakidigitali ?

Naitwa Baraka Mkisi mnazi wa taknolojia hasa kwa upande wa Simu na Laptop , nasaidia wafanyabiashara ,makampuni au watu binafsi kuwafanyia manunuzi katika soko la kariakoo ,tangu mwaka 2018.

Nipo kariakoo mtaa wa aggrey na msimbazi au unaweza kututafuta instagram ,facebook na tiktok kama SIMUKIDIGITALI au piga/WhatsApp 0757468193 NB: ...... Nadeal na bidhaa original tu.

Ilikuwa Agost 2 , 2016 Samsung ili isimamisha dunia baada ya kuzindua simu yake ya Samsung Note 7.
Tangazo la simu hii lilileta matumaini mapya kwa wanzi wa samsung huku wengi walibaki kuisubiri kwa hamu ili ianze kuuzwa.

Muitikio wa wateja.....

Simu hii ilipata muitikio mkubwa sana duniani kote kila mtu aliisifia simu hii kwa ubora wake tarifa zikaenea duniani kote kila mtu alitamani kumiliki samsung Note 7.

.........ghafla stori ya simu hii ikabalika na pengine kuwa simu ambayo iliwatia hasara samsung na kuchukiwa na watu wengi sana sana na wengine wakawa wanaogopa sana.

Najua unajiuliza kilitokea nini .....swali zuri !

Taarifa potoshi zikaanza ghafla kuenea kuwa Samsung wamekuja na mpango wa siri wa kuua watu kupitia simu hizi kutokana na kulipuka ghafla inapopata moto au kuwekwa kwenye chaji.

Taarifa hizi zilipigwa vikali na samsung huku wakiweka wazi kuwa haikuwa na lengo la makusudi la watumiaji wa simu hizi kuuwawa bali yalitokea makosa madogo hasa walipo kuwa wanatengeneza mfumo wake wa battery ambayo ni aima ya LITHIUM ION BATTERIES .

Ukubwa wa Tatizo......
Japo simu hizi hazikufanya madhara makubwa sana lakini kutokana na kuenea kwa kasi taarifa zake zilikuza tatizo hili na kuonekana kubwa zaidi .

kwa mujibu wa Mtandao wa Google kesi takribani 55 ziliripotiwa kuwa ni kubwa ambapo nyumba na magari yalilipuka kutokana na simu hizi huku kesi 26 ziliripotiwa watu kulipukiwa moja na kupata madhara ya kuungua , lakini hakuna kifo kilicho ripotiwa.

............Madhara ya moja kwa moja.
samsung waliamuliwa kurudisha kiwandani simu zaidi ya millioni 2 na laki 5 na hawakuendelea tena na uzalishaji huku wakipata reputation mbaya kuhusu ubora wa simu zao.

Ujio wa google pixel
Baada ya samsung kupoteza uaminifu sokoni google ikabidi itumie fursa ipasavyo.....
mnamo october 4 2016 google walitambukisha simu yake ya kwanza .

simu hizi zilionekana kuwa na ubora wa hali ya juu na yenye kuzingatia viwango vyote , kwa tahadhari zaidi ili kuepusha over heating wakaiwekea na program maalumu ya kujizima mbaka ipoe ndipo itawaka.

Hii Inakuaje? soma kwa makini maana kuna kesi nyingin sana hapa maana watanzania wengi hufikiria kuwa ni simu mbovu lakini sio kweli ni kukosa uelewa.

ukiwa unaitumia simu ya google hasa ikiwa inapata joto la moja kwa moja kutoka nje yaani karibu na moto au jua kali (hasa kushoot video) , huwa inatoa alama ya WARNING kukutaarifu kuwa simu yako inapata moto kupita kawaida . Hiyo warning huja hadi mara 3 usipo chukua hatua ya kuizima hadi mara 3 huwa inajizima yenyewe automatic na huwaka baada ya kupoa.

hivyo mwanakidigitali simu ikifanya hivyo sio mbovu bali imewekwa makusudi kulinda afya yako na simu yako, nimewaelekeza watejawangu wengi suala hili na sasa wanaelewa vyema.

.........Samsung inapigwa bao.
Google pixel baada ya kuhakikishia usalama watumiajiwake ilipata umaarufu wa ghafla hasa nchini marekani na duniani kote na sasa wamekuja kuwa washindani wakubwa sokoni lakini samsung kwa sababu ya wakongwe na wamediversfy sana simu zao wana win soko kubwa hasa kwa nchi za Afrika.

Pengine hautaona tena makala zangu mtandaoni , leo umekutana na bahati tu .... usiache fursa hii ikupite huwa natoa makala kama hizi mara kadhaa kupitia group langu WhatsApp na ofa kibao za simu na Laptop.

save namba yangu sasa 0757468193 kisha nitext whatsApp ujifunze kupitia status na group iwapo utahitaji pia nauza simu original na Genuine tu. tupo k koo aggrey unaweza kutucheki kwenye mitandao yetu mbali mbali tunatumia SIMUKIDIGITALI.

Je , ni simu kutoka kampuni gani unapenda zaidi? SAMSUNG au GOOGLE PIXEL ?​
 
Mimi natumia Google pixel kwa sasa ,siwezi kutumia Samsung wala iPhone...Bahati nzuri nilishawahi kuletewa Iphone miaka ya nyuma nikauza .

Sijawahi kupenda hizo simu niwe mkweli ,simu nimewahi kutumia ni HTC ,Tecno na Huawei P20 ,nothing bila ya kupata dhambi ...Nitatumia pixel mpaka ije brand nyingine ya kichina ....Napenda hii simu kwa sababu ina vitu vingi sana ,chaji haina usaliti kwa sana .
 
Samsung baada ya kushika soko kwa muda mrefu wakajisahau na kuona wanaweza kufanya wanachojisikia sokoni , google pixel wakaja wakawapiga bao na sasa vijana wengi hupendelea zaidi kuliko Samsung.

Ona mbaka nasahau kusalimia , Habari gani mwanakidigitali ?

Naitwa Baraka Mkisi mnazi wa taknolojia hasa kwa upande wa Simu na Laptop , nasaidia wafanyabiashara ,makampuni au watu binafsi kuwafanyia manunuzi katika soko la kariakoo ,tangu mwaka 2018.

Nipo kariakoo mtaa wa aggrey na msimbazi au unaweza kututafuta instagram ,facebook na tiktok kama SIMUKIDIGITALI au piga/WhatsApp 0757468193 NB: ...... Nadeal na bidhaa original tu.

Ilikuwa Agost 2 , 2016 Samsung ili isimamisha dunia baada ya kuzindua simu yake ya Samsung Note 7.
Tangazo la simu hii lilileta matumaini mapya kwa wanzi wa samsung huku wengi walibaki kuisubiri kwa hamu ili ianze kuuzwa.

Muitikio wa wateja.....

Simu hii ilipata muitikio mkubwa sana duniani kote kila mtu m2​
 
I
Google pixel ni kama kitone kwenye Bahari, kwenye Mauzo ya simu wanawekwa kundi la others, ni simu niche kwa watu wanaopenda clean android na camera, bado sana kuwekwa kundi moja na Samsung.

Hapa Tanzania kwenyewe haziuzwi unasubiria tu refurb toka nje.
Always admire you guy katika sekta hii... You know it well
 
Google pixel ni kama kitone kwenye Bahari, kwenye Mauzo ya simu wanawekwa kundi la others, ni simu niche kwa watu wanaopenda clean android na camera, bado sana kuwekwa kundi moja na Samsung.

Hapa Tanzania kwenyewe haziuzwi unasubiria tu refurb toka nje.
Kama hajawahi tumia Samsung hawezi kukuelewa..

Pia watumiaji wengi wa simu hatufanyi maximum utilization ya gadgets zetu, sisi ni watumiaji wa kawaida sana.
 
Google pixel ni kama kitone kwenye Bahari, kwenye Mauzo ya simu wanawekwa kundi la others, ni simu niche kwa watu wanaopenda clean android na camera, bado sana kuwekwa kundi moja na Samsung.

Hapa Tanzania kwenyewe haziuzwi unasubiria tu refurb toka nje.
Acha hizi mambo Google pixel ni best tukiongea ukweli sio takwimu za mitandaoni ,hata uwe fundi simu ila ukweli Google ni bora ...Nimetumia ya tatu hii ,moja waliiba Dar , nyingine nimempa Dar...Hii ni ya tatu ina mwaka ...Kwa kweli ni level nyingine.
 
Aisee yaani mleta uzi una bahati sana umepata replies toka kwa watu wazito
Sio kwamba wengine hatuwezi kuanzisha uzi lakini ukifikiria watu wa JF walivyo na akili kubwa inabidi ujipange huku si FB
Mkuu hapo China plaza una deal na Samsung na si google pixel ni kwa nini?.
 
Aisee yaani mleta uzi una bahati sana umepata replies toka kwa watu wazito
Sio kwamba wengine hatuwezi kuanzisha uzi lakini ukifikiria watu wa JF walivyo na akili kubwa inabidi ujipange huku si FB
Google pixel baba lao ,usitumie nguvu ..Mwaka 2000's huyo Samsung alikuwa hafiki hata robo ya market shares ya Nokia ila kiko wapi ...Ninachokuambia bado una ule ushamba wa kuamini ila kasi inaonekana , Google pixel wako mbele hata tuweke feature moja kwa moja ila kama unajua simu sio kushangaa vioo vya kijani.

Iphone wameenda kwenye features mpya ya adobe camera ,jina kama sijakose ni "project idingo " ..Endelea kushangaa vioo vya kijani watu wanabandua tu huku , Google pixel ni pure Android 😂😂
 
Samsung baada ya kushika soko kwa muda mrefu wakajisahau na kuona wanaweza kufanya wanachojisikia sokoni , google pixel wakaja wakawapiga bao na sasa vijana wengi hupendelea zaidi kuliko Samsung.

Ona mbaka nasahau kusalimia , Habari gani mwanakidigitali ?

Naitwa Baraka Mkisi mnazi wa taknolojia hasa kwa upande wa Simu na Laptop , nasaidia wafanyabiashara ,makampuni au watu binafsi kuwafanyia manunuzi katika soko la kariakoo ,tangu mwaka 2018.

Nipo kariakoo mtaa wa aggrey na msimbazi au unaweza kututafuta instagram ,facebook na tiktok kama SIMUKIDIGITALI au piga/WhatsApp 0757468193 NB: ...... Nadeal na bidhaa original tu.

Ilikuwa Agost 2 , 2016 Samsung ili isimamisha dunia baada ya kuzindua simu yake ya Samsung Note 7.
Tangazo la simu hii lilileta matumaini mapya kwa wanzi wa samsung huku wengi walibaki kuisubiri kwa hamu ili ianze kuuzwa.

Muitikio wa wateja.....

Simu hii ilipata muitikio mkubwa sana duniani kote kila mtu aliisifia simu hii kwa ubora wake tarifa zikaenea duniani kote kila mtu alitamani kumiliki samsung Note 7.

.........ghafla stori ya simu hii ikabalika na pengine kuwa simu ambayo iliwatia hasara samsung na kuchukiwa na watu wengi sana sana na wengine wakawa wanaogopa sana.

Najua unajiuliza kilitokea nini .....swali zuri !

Taarifa potoshi zikaanza ghafla kuenea kuwa Samsung wamekuja na mpango wa siri wa kuua watu kupitia simu hizi kutokana na kulipuka ghafla inapopata moto au kuwekwa kwenye chaji.

Taarifa hizi zilipigwa vikali na samsung huku wakiweka wazi kuwa haikuwa na lengo la makusudi la watumiaji wa simu hizi kuuwawa bali yalitokea makosa madogo hasa walipo kuwa wanatengeneza mfumo wake wa battery ambayo ni aima ya LITHIUM ION BATTERIES .

Ukubwa wa Tatizo......
Japo simu hizi hazikufanya madhara makubwa sana lakini kutokana na kuenea kwa kasi taarifa zake zilikuza tatizo hili na kuonekana kubwa zaidi .

kwa mujibu wa Mtandao wa Google kesi takribani 55 ziliripotiwa kuwa ni kubwa ambapo nyumba na magari yalilipuka kutokana na simu hizi huku kesi 26 ziliripotiwa watu kulipukiwa moja na kupata madhara ya kuungua , lakini hakuna kifo kilicho ripotiwa.

............Madhara ya moja kwa moja.
samsung waliamuliwa kurudisha kiwandani simu zaidi ya millioni 2 na laki 5 na hawakuendelea tena na uzalishaji huku wakipata reputation mbaya kuhusu ubora wa simu zao.

Ujio wa google pixel
Baada ya samsung kupoteza uaminifu sokoni google ikabidi itumie fursa ipasavyo.....
mnamo october 4 2016 google walitambukisha simu yake ya kwanza .

simu hizi zilionekana kuwa na ubora wa hali ya juu na yenye kuzingatia viwango vyote , kwa tahadhari zaidi ili kuepusha over heating wakaiwekea na program maalumu ya kujizima mbaka ipoe ndipo itawaka.

Hii Inakuaje? soma kwa makini maana kuna kesi nyingin sana hapa maana watanzania wengi hufikiria kuwa ni simu mbovu lakini sio kweli ni kukosa uelewa.

ukiwa unaitumia simu ya google hasa ikiwa inapata joto la moja kwa moja kutoka nje yaani karibu na moto au jua kali (hasa kushoot video) , huwa inatoa alama ya WARNING kukutaarifu kuwa simu yako inapata moto kupita kawaida . Hiyo warning huja hadi mara 3 usipo chukua hatua ya kuizima hadi mara 3 huwa inajizima yenyewe automatic na huwaka baada ya kupoa.

hivyo mwanakidigitali simu ikifanya hivyo sio mbovu bali imewekwa makusudi kulinda afya yako na simu yako, nimewaelekeza watejawangu wengi suala hili na sasa wanaelewa vyema.

.........Samsung inapigwa bao.
Google pixel baada ya kuhakikishia usalama watumiajiwake ilipata umaarufu wa ghafla hasa nchini marekani na duniani kote na sasa wamekuja kuwa washindani wakubwa sokoni lakini samsung kwa sababu ya wakongwe na wamediversfy sana simu zao wana win soko kubwa hasa kwa nchi za Afrika.

Pengine hautaona tena makala zangu mtandaoni , leo umekutana na bahati tu .... usiache fursa hii ikupite huwa natoa makala kama hizi mara kadhaa kupitia group langu WhatsApp na ofa kibao za simu na Laptop.

save namba yangu sasa 0757468193 kisha nitext whatsApp ujifunze kupitia status na group iwapo utahitaji pia nauza simu original na Genuine tu. tupo k koo aggrey unaweza kutucheki kwenye mitandao yetu mbali mbali tunatumia SIMUKIDIGITALI.

Je , ni simu kutoka kampuni gani unapenda zaidi? SAMSUNG au GOOGLE PIXEL ?​
Usifananishe Samsung na takataka nyingine kwenye kila angle
 
Acha hizi mambo Google pixel ni best tukiongea ukweli sio takwimu za mitandaoni ,hata uwe fundi simu ila ukweli Google ni bora ...Nimetumia ya tatu hii ,moja waliiba Dar , nyingine nimempa Dar...Hii ni ya tatu ina mwaka ...Kwa kweli ni level nyingine.
Taja sababu kwa nini Google Pixel ni bora kuliko Samsung, tuanze kuzichambua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom