Kortini akidaiwa kulawiti wanafunzi

Kortini akidaiwa kulawiti wanafunzi

Haaaaa haaaa
Kweli kunawatu wanaroho nzuri...yaani mimi uniharibie mwanangu kiasi hicho alafu jioni tunakutana bar eti upo nje kwa dhama?...yaani sipati picha kitakachotokea hapo. Ngoja nitemee mate chini ptuuu ee Mwenyezi Mungu epushia mbali
Mauaji
 
Hawa watu nahisi hua sio akili zao, nahisi kuna masharti hua wanapewa na waganga wa jadi ili wapate utajiri kama wale wanaodanganywa watafute viungo vya albino
Inamaana hata wale ma padri wa RC wanaowatibua tope watoto huwa wanatumwa na waganga??
 
Shika adabu yako na adabu I kushika.

Hakuna Muislam anaetetea maovu.

Huyo anyongwe tu.
uko sahihi kabisa ili tusikuone mnafki inabidi umpinge na yule aliyekalawiti katoto ka miaka 6 huku yeye akiwa na zaidi ya miaka 50
 
Inamaana hata wale ma padri wa RC wanaowatibua tope watoto huwa wanatumwa na waganga??
Naona umeingiza udini, sioni kama ni busara sana kuingiza dini hapa.
Mimi nimezungumza generally kwa watu wanaofanya matukio ya kubaka na kulawiti wala sikujikita katika dini ya mtu.

Kama umefikia kuona dini ni jambo la maana sana mpaka ujivunie dini yako basi hii nchi yetu ina safari ndefu.
 
Aksante ka habari uliyo tuhabarisha. Ila, sidhani kama ni kweli Khalid yupo kitaa kwa kuahidi tu kuwa atatoa shs 4m kama atapotea.
Wadhani huyo mtu aliyeruhusu Khalid atoke sero anaipenda kazi yake kweli?? Khalid kwisha kuwa sugu. Vitoto vigori viwili kwa mara moja!! Utamu alioukuta humo mwenye hiyo mitaro ambayo imebana kweli hadi afwande akasema aliwasababishia maumivu makali. Wadhani atawaacha hao wengine wa hiyo shule salama??
Yeye amesomea kuzivunja (chupa) sidhani huko kwenye mitaro ya maji taka kuna bikra. Serekali tukufu, tupieni jicho huo mtaa wa kiarabu. PCCB tafadhali, ombeni cheti cha huyo mhusika aliye idhinisha hiyo dhamani.
Swali dogo tu; Hivi, what is 4m ukilinganisha na 30yrs behind bars. Sidhani kama Khalid bado yupo tz saa hii. HAKI ishauzwa hapo. Vitoto hivyo vishavunjwa chupa baasi.
 
Jitu kama hilo linawezaje kupata dhamana!? Uchunguzi gani tena unaendelea!? Watoto wameumizwa...tungenusuru hela yetu walipa Kodi kwa kulitupa JELA moja moja lianze kifungo chake.
 
Back
Top Bottom