Kortini akidaiwa kulawiti wanafunzi

Kortini akidaiwa kulawiti wanafunzi

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,274
Reaction score
25,322
HALID Mohamed (28) amefi kishwa Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Wilaya ya Igunga kwa tuhuma ya kulawiti wanafunzi wawili wa shule ya msingi Chipukizi wilayani hapa.

Mwendesha Mashitaka wa Polisi Wilaya ya Igunga, Elimajid Kweyamba aliiambia mahakama mbele ya hakimu wa mahakama hiyo, Ajali Milanzi kuwa shitaka la kwanza linalomkabili mshitakiwa huyo lilitokea kati ya Februari 1 mpaka 14 mwaka huu.

Alisema katika Mtaa wa Uarabuni mjini Igunga mshitakiwa alimlawiti mwanafunzi mwenye miaka 9 wa kiume anayesoma darasa la pili shule ya msingi Chipukizi na kumsababishia maumivu makali sehemu zake za siri.

Aliongeza kwamba shitaka la pili lilitendeka kati ya Februari 1 hadi 14 vilevile katika mtaa huohuo ambapo mshitakiwa alimlawiti mwanafunzi wa miaka 7 wa kiume anayesoma darasa la pili katika shule hiyo hiyo ya Chipukizi.

Alisema mshitakiwa alitenda makosa hayo mawili kinyume na kifungu 154 kidogo cha kwanza (a) (2) kanuni ya adhabu sura ya 16 mapitio ya 2002 inayozuia kutenda makosa kama hayo.

Baada ya kusomewa makosa hayo mawili mshitakiwa alikana kutenda makosa hayo yote mawili ambapo yuko nje kwa dhamana ya Sh milioni 4 kwa makosa yote mawili na kesi hiyo imeahirishwa hadi Julai 17 mwaka huu wakati kesi itakapoanza kusikilizwa

Chanzo:
Muungwana Blog
 
Du.........jamaa....anazibua mitaro bila idhini.............moto atauona.........
 
Hili jina nilijua ni yule mwanamuziki mla powder
 
Hawa watu nahisi hua sio akili zao, nahisi kuna masharti hua wanapewa na waganga wa jadi ili wapate utajiri kama wale wanaodanganywa watafute viungo vya albino
 
domo zege afu hana hela uraru ukikushika akili inaruka unaweza kutomba ht mbuzi
 
Hivi makosa ya kubaka nayo yana dhamana eeh! Au wanaume hawabakwi? Hao watoto si wamebakwa!? Je wanapokua uraiani ikatokea watoto waliofanyiwa vitendo hivyo wakakutana na mtuhumiwa inakuaje? Hizi mahakama zetu hizi zina hila sana pesa chafu watakatishaji hawana dhamana ila michezo michafu wanayofanyiwa watoto wetu watuhumiwa wanapewa dhamana,inauma Sana'a
 
Back
Top Bottom