Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 5,310
- 7,199
Habari!
Nafahamu kuna Sintofahamu bado kuhusu issue ya Korosho...
Kwa wale wanaojua hivi kwa sasa Serikali imeruhusu ku export Korosho zilizobanguliwa?
Kuna Oda ya Tani 500 ya Korosho zilizobanguliwa kwa kuanzia kwenda Gulf Countries....
Je! Serikali imeruhusu!?