KOROSHO: Wamedanganya tena, mara hii Majaliwa

KOROSHO: Wamedanganya tena, mara hii Majaliwa

Watawapeleka tena wanajeshi na magari yao kuongeza ufanisi kama msimu uliopita .
 
Mashamba mengi sana hayajapaliliwa kutokana na ukosefu wa pesa za palizi.


Kwa wilaya ya Masasi Mjini kuna fomu zimetolewa kwa wakulima wote wenye mikorosho waijaze kwa elfu 20 ndipo atauza korosho zake msimu huu. Bila kutoa pesa hupewi fomu na kama huchukui fomu utahesabiwa umeiba korosho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Yajayo hayafurahishi [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Kweli hii ? Dah!! Utawala huu....
 
Back
Top Bottom