KOROSHO: Wamedanganya tena, mara hii Majaliwa

Hili la korosho lingekuwa linashughulikiwa kimyakimya kuliko kutangaza hadharani halafu mambo hayawi ilivyosemwa...!
 
Kwani msimu huu wataenda tena mtwara? Au tunaenda sisi middle man
 
Mashamba mengi sana hayajapaliliwa kutokana na ukosefu wa pesa za palizi.

Kwa wilaya ya Masasi Mjini kuna fomu zimetolewa kwa wakulima wote wenye mikorosho waijaze kwa elfu 20 ndipo atauza korosho zake msimu huu. Bila kutoa pesa hupewi fomu na kama huchukui fomu utahesabiwa umeiba korosho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Yajayo hayafurahishi [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Eeeeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseee kama ni kweli huu utawala wa kibwege kuwahi Kutokea lol
 
Mashamba mengi sana hayajapaliliwa kutokana na ukosefu wa pesa za palizi.

Kwa wilaya ya Masasi Mjini kuna fomu zimetolewa kwa wakulima wote wenye mikorosho waijaze kwa elfu 20 ndipo atauza korosho zake msimu huu. Bila kutoa pesa hupewi fomu na kama huchukui fomu utahesabiwa umeiba korosho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Yajayo hayafurahishi [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Duh hii kali, fomu tena?
 
Daah,kweli mnyonge ananyongwa
 
Kaamua kuwatosa shangazi na mama zake hivihivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom