Acha tu ndugu. Moderators wa jf nao wamekuwa "feet lickers" wa huu utawala. Uvccm wakitukana wanaachwa ila sie tukitoa fair comment moja tu tunapigwa ban za ajabu ajabuNi wajinga tu ndio watakuwa washabiki wa hii awamu.Na huu ni ushahidi wa wazi kuwa tatizo la nchi hii ni mtu mmoja alieko juu kabisa kwenye ile ofisi kubwa.
Watu(wafanyabiashara) wanaweza kujitokeza kuitikia wito huu alafu wakaishia kutakiwa kujieleza ni wapi wamepata mitaji ya kununua hizo korosho maana vituko nchi hii haviishi.
Kama neno "wajinga" ni tusi,mnipige tena "ban" lakini lazima tuseme ukweli.
Watu kwa muda mrefu tumeitwa nyumbu humu huku wanaotuita hivyo mkiwaangalia tu,juzi nimemjibu mmoja mkanipiga ban.Sijui mnachosimamia ni nini!!
Hakuna haja, nashauri uwekwe utaratibu akishatoka awe anachapwa bakora 15 hadharani kila baada ya wiki mbili kwa miaka 10.Hivi kweli kuna haja ya KUENDELEA NAYE!!??
Kuna mambo ya kutumia trial and error, mambo ya biashara ni sayansi, au unajua nna ya kufanya kwa mafanikio au unafanza kwa kuharibu na kwa hasara kubwa. Koroshowwwww hoyeeeeeeeeTutafika tuendako kwa kuchechemea, wengi watakuwa vilema wengine wataishia njiani
Wakulima maeneo mengi wanalia kuliko wakati mwingine. Tatizo wenye dhamana hawajui nini cha kufanya bali wanataka kusifiwa wanapojaribu kutatua migogoro
Ww jukwaa hili unafanya nn?Wanataka kulamba matapishi yao sio. Wafanye tu wanavyoweza walipe mabeb zetu hela zao tuslay sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni ubabe wenu. Tena umeandika kimahaba. Huelewi mantiki ya hoja ya sasa ya serikali na mantiki ya hoja ya mwanzo ya serikali.Kama serikali imeita wanunuzi wa Korosho kwenye meza ya mazungumzo tatizo liko wapi?, Kama serikali iliwaita wachimbaji madini na kuzungumza nao, kuwaita wanunuzi Korosho imekosea nini?. Serikali ikitenda lawama, isipotenda lawama, kweli tuna watanzania Mazuzu ambao kila kitu kwao kibaya. Serikali makini na ya kidemokrasia hujadiliana na kuafikiana na makundo mbalimbali nchini ili kupata ufumbuzi wa maswala kadhaa. Ni wiki hii serikali imeketi na vyama vya wafanyakazi kutatua kikokotoo, na sasa inakaa na wanunuzi Korosho, baadae wanunuzi madini n.k hiyo ndiyo demokrasia ya uchumi. Badilikeni muwe wazalendo lasivyo Mtapata Taabu Sana Aisee kwa Awamu ya Jemedari JPM, Mzalendo wa kweli
Duu! Hii kaliMkuu kufanya utafiti wa mwili wa mwanamke sio lazima uwe Rijali.
Mazuzu ni pamoja na wewe na lichama lenu.Kule kwenye lichama lenu tunawatoa wachache wenye akili akiwemo bashe.Kama serikali imeita wanunuzi wa Korosho kwenye meza ya mazungumzo tatizo liko wapi?, Kama serikali iliwaita wachimbaji madini na kuzungumza nao, kuwaita wanunuzi Korosho imekosea nini?. Serikali ikitenda lawama, isipotenda lawama, kweli tuna watanzania Mazuzu ambao kila kitu kwao kibaya. Serikali makini na ya kidemokrasia hujadiliana na kuafikiana na makundo mbalimbali nchini ili kupata ufumbuzi wa maswala kadhaa. Ni wiki hii serikali imeketi na vyama vya wafanyakazi kutatua kikokotoo, na sasa inakaa na wanunuzi Korosho, baadae wanunuzi madini n.k hiyo ndiyo demokrasia ya uchumi. Badilikeni muwe wazalendo lasivyo Mtapata Taabu Sana Aisee kwa Awamu ya Jemedari JPM, Mzalendo wa kweli
Mkuu wakimaliza hiki watuambie had I sasa wale walioitwa wezi wa madini wameshalipa kiasi ganiTatizo ni ubabe wenu. Tena umeandika kimahaba. Huelewi mantiki ya hoja ya sasa ya serikali na mantiki ya hoja ya mwanzo ya serikali.
Kwenye kundi la Great Thinkers huwezi kuwemo hata chembe. Mnalianzisha kwa viburi vyenu then linawachachia finally mnaomba msaada kwa wale mliowaona wezi? Only in my motherland
Mimi niliposoma hiyo comment yake mwili wote ulishikwa ganzi. Siasa sio ushabiki wa mpira kwamba timu hata ikiboronga itabaki kuwa yako, siasa inagusa maisha ya watu.Wananchi tuache kuwashangilia viongozi wanaotoa maamuzi ya hovyo ili wapate kushangiliwa!Acha upumbavu wewe ungekuwa karibu ningekutia hata makofi ya kutosha. Alfu unaweza kukuta ni kijana kabisa unajitoa akili kiasi iko. Wewe huoni tatizo lipo wapi.
Serikal ivuruge biashara, ishindwe kununua korosho zote. nyingne mpaka zmepigwa mvua kwenye magala. Mpka sasa msimu wa ununuzi korosho umeisha. Wanunuzi wanaenda na seasonal timetable. Hamna wa kuangaika kubeba makorosho nanayooza kwa kupigwa mvua sasa hivi. Watu wanyanganywa korosho zao, kesi kibao zimeanza kufunguliwa mahakamani. Yan watengeneze tatizo beyond recovery leo waamue kukaa mezani uanze kusifu. Msengerema wewe. Mfyuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
My God pamoja na mbwembwe zote, serikali imeshindwa zoezi la korosho?
Wafanyabiashara wao ni kununua na kuuza India tu!
Wewe ni hasara kwa mamaako.Kama serikali imeita wanunuzi wa Korosho kwenye meza ya mazungumzo tatizo liko wapi?, Kama serikali iliwaita wachimbaji madini na kuzungumza nao, kuwaita wanunuzi Korosho imekosea nini?. Serikali ikitenda lawama, isipotenda lawama, kweli tuna watanzania Mazuzu ambao kila kitu kwao kibaya. Serikali makini na ya kidemokrasia hujadiliana na kuafikiana na makundo mbalimbali nchini ili kupata ufumbuzi wa maswala kadhaa. Ni wiki hii serikali imeketi na vyama vya wafanyakazi kutatua kikokotoo, na sasa inakaa na wanunuzi Korosho, baadae wanunuzi madini n.k hiyo ndiyo demokrasia ya uchumi. Badilikeni muwe wazalendo lasivyo Mtapata Taabu Sana Aisee kwa Awamu ya Jemedari JPM, Mzalendo wa kweli
Ukikaa na kutafakari maigizo na mazingaombwe yanayofanywa na Mwalimu Mkuu wa shule yetu na jinsi anavyoshangiliwa kwa Kiki zake na wanafunzi utatamani ujifiche angalau kwenye kikombe cha kunywea majiMkuu wakimaliza hiki watuambie had I sasa wale walioitwa wezi wa madini wameshalipa kiasi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama serikali imeita wanunuzi wa Korosho kwenye meza ya mazungumzo tatizo liko wapi?, Kama serikali iliwaita wachimbaji madini na kuzungumza nao, kuwaita wanunuzi Korosho imekosea nini?. Serikali ikitenda lawama, isipotenda lawama, kweli tuna watanzania Mazuzu ambao kila kitu kwao kibaya. Serikali makini na ya kidemokrasia hujadiliana na kuafikiana na makundo mbalimbali nchini ili kupata ufumbuzi wa maswala kadhaa. Ni wiki hii serikali imeketi na vyama vya wafanyakazi kutatua kikokotoo, na sasa inakaa na wanunuzi Korosho, baadae wanunuzi madini n.k hiyo ndiyo demokrasia ya uchumi. Badilikeni muwe wazalendo lasivyo Mtapata Taabu Sana Aisee kwa Awamu ya Jemedari JPM, Mzalendo wa kweli