matheiavelini Member Joined Jan 8, 2023 Posts 10 Reaction score 15 Mar 13, 2023 #1 Unawapa kitafunwa gani wageni wako? Wateja wako wanafahamu kwamba, korosho ni kitafunwa pendwa zaidi? Una nafasi ya kuzipata leo kwa bei ya jumla, zimeandaliwa vizuri kurudisha kumbukumbu. Bei ya Jumla; Ikg =21000/ Nusu kg=11500/ Robo kg=7000/ 100g =3000/ Agiza leo nikuletee mpaka nyumbani/ofisini kwako bure. Utalipia baada ya kuonja. SMS/Call/Whatsapp; +255 757334796 - Mr. Mathei Kunduchi, Dar es salaam.
Unawapa kitafunwa gani wageni wako? Wateja wako wanafahamu kwamba, korosho ni kitafunwa pendwa zaidi? Una nafasi ya kuzipata leo kwa bei ya jumla, zimeandaliwa vizuri kurudisha kumbukumbu. Bei ya Jumla; Ikg =21000/ Nusu kg=11500/ Robo kg=7000/ 100g =3000/ Agiza leo nikuletee mpaka nyumbani/ofisini kwako bure. Utalipia baada ya kuonja. SMS/Call/Whatsapp; +255 757334796 - Mr. Mathei Kunduchi, Dar es salaam.
C chanduka Member Joined Aug 12, 2020 Posts 64 Reaction score 60 Mar 15, 2023 #2 ndgu nkuuzie zang 13000 kwa kg
Steve96 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2022 Posts 9,351 Reaction score 1,186 Mar 15, 2023 #3 chanduka said: ndgu nkuuzie zang 13000 kwa kg Click to expand... Mm pia nashangaa yaani kilo 21000 hatr
chanduka said: ndgu nkuuzie zang 13000 kwa kg Click to expand... Mm pia nashangaa yaani kilo 21000 hatr
matheiavelini Member Joined Jan 8, 2023 Posts 10 Reaction score 15 Mar 16, 2023 Thread starter #4 chanduka said: ndgu nkuuzie zang 13000 kwa kg Click to expand... 0757334796 nicheki hapo chap
matheiavelini Member Joined Jan 8, 2023 Posts 10 Reaction score 15 Mar 16, 2023 Thread starter #5 Steve96 said: Mm pia nashangaa yaani kilo 21000 hatr Click to expand... Usishangae ,sokoni Kuna Mchele wa 2700, upo mpaka wa 4000 Kwa kg. Kama nikikuonesha tofauti ya korosho hizi na zile nyingine,upo tayari kununua Leo?
Steve96 said: Mm pia nashangaa yaani kilo 21000 hatr Click to expand... Usishangae ,sokoni Kuna Mchele wa 2700, upo mpaka wa 4000 Kwa kg. Kama nikikuonesha tofauti ya korosho hizi na zile nyingine,upo tayari kununua Leo?
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 7,258 Reaction score 9,728 Mar 16, 2023 #6 Duuuh mbona ghali hivo juzi nimenunua kilo 15 Sent using Jamii Forums mobile app
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,324 Reaction score 25,841 Mar 19, 2023 #7 chanduka said: ndgu nkuuzie zang 13000 kwa kg Click to expand... Tuwasialane
matheiavelini Member Joined Jan 8, 2023 Posts 10 Reaction score 15 Mar 20, 2023 Thread starter #8 matheiavelini said: 0757334796 nicheki hapo chap Click to expand... Mbona hunipigii Sasa
JJ AGRO GROWERS LIMITED New Member Joined Mar 23, 2023 Posts 1 Reaction score 0 Mar 23, 2023 #9 Tuna korosho kubwa size 240 zinauzwa 16,000 tuwasiliane +255 756 051 414