Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,709
- 19,295
Wakimaliza wanaenda kwenye viwanda vyake alivyo uziwa kwa bei ya kutupwa na serikali dhalimu ya ccm
Kuteka mumteke na kumtisha, kumbe mlikuwa mnayataka mashamba singeyachukuwa kuliko kumteka na kumtishaAliyenyang’anywa ni Mo Dewji au kampuni anayoiongoza ya Mohammed Enterprises?
Ataweza kuyaendesha?Inasemekana sababu yakutekwa kwake ni mashamba anyomiliki mtakatifu anayataka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna swali la msingi hapo.Kauliza swali la msingi! Kwanza huyo Mo hiyo kampuni ya MeTL kaikuta
Swali lako ni zuri lakini hapa naongelea uhalisia ulivyo. Veil of incorporation huwa kichaka tu aliyenyang'anywa ni Mo Dewji na ndiye aliyetekwa siyo kampuni.Aliyenyang’anywa ni Mo Dewji au kampuni anayoiongoza ya Mohammed Enterprises?
MeTL is owned by Mo Dewji as per his Twitter handle.Aliyenyang’anywa ni Mo Dewji au kampuni anayoiongoza ya Mohammed Enterprises?
Anayo mengi sana.. Mpaka kibaha yapoHayo yalijulikana kabla bado la Morogoro atanyang'anywa.
OK. MTU ametoka kutekwa na kina kaka wasiojulikana, Leo mnampora mashamba, je kuna nini nyuma ya pazia?
Kipindi kile alitekwa Mo Dewji au Kampuni?! Jibu ndio Jibu la Swali lako.Aliyenyang’anywa ni Mo Dewji au kampuni anayoiongoza ya Mohammed Enterprises?
Kampuni anayoiongoza ni yake!Aliyenyang’anywa ni Mo Dewji au kampuni anayoiongoza ya Mohammed Enterprises?
After lifting veil ...MO ameonekana vip any qsn?Aliyenyang’anywa ni Mo Dewji au kampuni anayoiongoza ya Mohammed Enterprises?
Buraza unachosha na ww serikali dhalimu ya CCM tena? Sasa huyo Membe tutaenda naye kupitia lichama dhalimu au atajaribu kupindua tu Kama Gabon? KkkWakimaliza wanaenda kwenye viwanda vyake alivyo uziwa kwa bei ya kutupwa na serikali dhalimu ya ccm
Aliyenyang’anywa ni Mo Dewji au kampuni anayoiongoza ya Mohammed Enterprises?