Qunax
Senior Member
- Oct 16, 2016
- 100
- 127
Hizi tamthilia za kikorea zinapendwa sana na dada zetu, lakini je wanajifunza kitu gani kutoka kwenye maudhui yake? Kuna series nimeanza kuiangalia Januari nimemaliza hii April, na ni ya mapenzi mwanzo mwisho sijaona kipande hata kimoja demu akiomba hela, na demu kwao masikini, mchizi dingi presdaa.