Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
i real appriciate zes men.ni jukumu lao kujilinda dhidi ya hila mbovu za marekani na korea kusini
Hii habari ya wananchi kufa njaa haina uthibitisho.Wakati wananchi wake wanakufa njaa...anajilinda dhidi ya nini sasa
Hii habari ya wananchi kufa njaa haina uthibitisho.
Unaweza kusaidia kutupatia idadi ya hao wahanga?!Ina uthibitisho wa kutosha kabisa.
Unaweza kusaidia kutupatia idadi ya hao wahanga?!
SourceIn March 2011 a joint UN survey estimated that over six million vulnerable persons in North Korea urgently required international food assistance to avoid famine.
As estimated food shortages reached more than one million metric tons, the World Food Programme called it the worst famine in a decade, and South Korea-based NGOs and media with informants inside North Korea reported hunger-related deaths.
Causes include dismal harvests resulting from floods and an extremely harsh winter; economic mismanagement of a monetary devaluation scheme in November 2009 that wiped out many peoples' savings and heavily damaged informal food markets; and the government's blatantly discriminatory food policies that favor the military, government officials, and other loyal groups.
North Korea's two largest food donors, the United States and South Korea, refused to provide food aid until North Korea apologizes for the sinking of the South Korean warship Cheonan and shelling of Yeonpyeong Island in 2010.
Hakuna jipya hapo.
Ni mwendelezo wa mikwara mbuzi tu.
Hahahaha!! Ant-North Korea katika ubora wake.
Hahahaha!! Ant-North Korea katika ubora wake.
Kwa qema gani unaisapoti USA to that extent au misaada ya condom na netHuyo north Korea, hana ubavu wa kumtisha Marekani, huwa wana Muacha tu, ni jibwa koko, nadhani kama miaka miwili hivi iliyopita lilizuka tafrani, hadi akaanza kupepeka makombola ili kuishambulia south Korea, USA, akasema sasa liwalo na liwe akaanza kujiandaa, heeee dogo akala uchocholo!! mala ikaja ile filamu ya kumuonyesha dogo, N. Korea wakapiga sana mkwara kuwa isionyeshe wakauvamia hadi mtandao wa SONY, na kuwa endapo wataionyesha USA, watajuta, kikowapi, mbona ilionyeshwa?!! na jeuri ya Marekani N. Korea alikosa mtandao wa Internet karibu kwa siku tatu. Huyo dogo hana ubavu huo. USA hana interest huko.
Safi sana kila siku usa tumechoka