GAS YA MSIMBATI
Member
- Mar 5, 2017
- 44
- 62
Korea ya Kaskazini imekumbwa na matetemeko takribani mawili leo katika kinachodhaniwa kuwa jaribio la 6 la bomu la nyuklia.
Japan wamesema wana uhakika ni jaribio la nyuklia baada ya kutuma ndege tatu za jeshi kwenye anga la Korea Kaskazini kupima mionzi.
Matemeko hayo yenye ukubwa wa 5.6 na 6.3 yalipimwa saa sita mchana kwa muda wa Korea Kaskazini na yalitokea kilomita 0 juu ya usawa wa bahari.
Inasemekana kuwa bomu lililotumika katika jaribio hilo limelipita kwa ukubwa bomu lililotumika kwenye shambulio huko Nagasaki kipindi cha Vita kuu ya pili ya dunia.