MKUU INAONEKANA NA WEWE HAUNA ELIMU KABISA
mimi nina elimu ya kidato cha 4 nimepata division 4 ya 28, nataka nikujibu kisomi hoja zako zoote kama ifuatavyo:
SWALI;"Hivi wewe hii TZ yako unaweza kuifananisha na Qatar kwa maendeleo?"Waliwezaje kuendelea kama hawana elimu?
JIBU; hapana siwezi ifananisha TZ na Qatar kwasababu
1. waTZ ni wajinga zaidi kuliko watu wa qatar,
2. sizani kama Qatar, sudi Arabia, UAE ni nchi za kiarabu
3. wao wameziongoza vizuri rasilimali zao vizuri kwa kutumia wasomi kutoka ulaya ila wenyewe hakuna kitu
SWALI; Halafu wewe uliyeelimika kuliko Waarabu nini cha maana ulichokifanya chenye faida kwa nchi yako?
JIBU; mambo nililoyAfanya yenye faida kwa nchi yangu
1. sivai mabomu nakijilipua kama wapumbavu hao wafanyavo
2. nalipa kodi
3. nimeajili wafanyakazi wa4 wa kuhudumia NGURUWE wangu
4. naelimisha watu wasiojielewa kama wewe kupitia mitandao ya kijamii