Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,644
- 18,707
Korea Kaskazini iko tayari kuzamisha meli ya kubeba ndege
ya Marekani inayoelekea rasi ya
Korea, kwa mjibu wa vyombo vya habari vya Korea Kaskazini. Taarifa katika gazeti la Rodong Sinmun lilisema kuwa meli ya
Marekani ya USS Carl Vinson itazamishw kwa shambulizi moja. Kundi la meli za Marekani zikiongozwa na Vinson zinatarajiwa
kuwasili katika rasi ya Korea wiki hii. Meli hizo zilitumwa na Rais Donald Trump baada ya onyo kuhusu uvumilivu kumalizika dhidi ya mpamgo
ya nuklia ya Korea Kasakazini. "Vikosi vyetu viko tayari kuzamisha meli hiyo ya kubeba ndege ya
Marekani kwa shambulizi moja,
lilisema gazeti la Rodong Sinmum.