Korea Kaskazini yasema itazamisha meli ya Marekani....

Korea Kaskazini yasema itazamisha meli ya Marekani....

Kwasasa ina ambaa ambaa maeneo ya philiphines ikielekea huko bahari ya japani,
jana ilipoteza ndege moja F-18 baada ya rubani kukosea mahesabu ya kutua,ndege ikazama baharini japo rubani aliokolewa
 
Nakumbuka mwaka 2006 walizamisha manwari ya marekani iliyokuwa inafanya upelelezi kwenye Ras ya korea na kupelekea wanajeshi 40 kupoteza maisha, ,,US iliwachukua almost wiki kugundua baada ya kupata kichwa cha kombora lililotumika kuhit,,
North Korea haijawah zamisha destroyer yoyote ya Marekani.Labda utuambie jina la hyo destroyer.
Walishawahi kuiteka meli ya upelelez ya US miaka hyo ya 1960s.
 
e84b7e0f18e7669507ec20838f069e22.jpg
kiboko kabisa.


ipee marekani miaka miwil au mmoja na nusu. huyoo jamaa atapotezwa. either kuuwawa au kupinduliwa
 
Waliitungua ndege ya kipelelezi ya marekani,na kuua askari 30 wa kimarekani,miaka ya 70,ilibidi rais Nixon apotezee tu.

Miaka ya michache iliyopita wakazamisha submarine ya south korea,ilibidi wapotezee tu,

kwa ufupi babake na kim jong Un ndo alikuwa kichaa hasa kuliko huyu mapanki
 
Inasemekana kupitia vyombo vya habari vya russia kama www.pravdareport.com kuwa wiki jana meli hizo za kivita za U.S zilipotea huko baharini japo U.S walizuga kuwa zilibadilisha uelekeo. Hata hivyo leo nimecheki kwenye media ya UFILIPINO, The philiphine star wameandika kuwa Japani wametuma destroyers 2 kuipokea USS CARL VINSON ambayo pia inasindikizwa na destroyers 2 za U.S, hayo yakiwa yanaendelea ijumaa iliyopita U.S na South Korea kupitia sattelite walibaini kuwa kuna mechi ya volleybal ilichezwa kwenye nuclear sites za North Korea, wanajiuliza je wale walikuwa nuclear technicians au ni wa kina nani? Hii dunia inaharibiwa sana na mabeberu wa Magharibi. Eti wao wamiliki nyuklia ila wengine hapana!
 
Marekani anatafuta sababu tu hawezi kupigana na NK bila sababu,asije akampiga mkaanza kumlaumu.
Mwambieni NK azamishe meli ya USA halafu uone kilichomtoa kanga manyoya
 
Hata ingekua ni baikoko ingekuwa imeshaanza, sio matango pori.
 
Imenikumbusha mikwara aliyokuwa anatoa waziri wa iraq juu ya marekani huku nyuma mabomu yanapigwa
 
Kim akianza kwakuzamisha hii meli atakua ameanzisha vita mwenyew na ninauhakika atapigwa tu donald trump n mwanauchumi so anajua athar za vta kwenye uchumi ila sio kwamba anamuogopa mkorea
Mkuu vita ni pamoja na mambo yote ikiwa na athari za uchumi
 
Back
Top Bottom