Korea Kaskazini yarusha kombora la kushambulia meli

Je, huko Iraq, Syria na Libya waliua wangapi kwa ajili ya mtu mmoja..?

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
wee uko dunia gani [emoji47] uñafahamu kabisa ust mgeni mgomvyi afu unaenda kumpigia mwanae...[emoji15] walahi hakuachi kama ulitegemea yuko kwenye funga imekula kwako atavunja funga atakushughuli kisha atalipa...nakuuliza aliye mtuma sadam aivamie Kuwait nani..[emoji12] umepanda bange unategemea uvune tende [emoji47] [emoji4]
 
Mbona ya Libya na Syria huzungumzii...?
 
Mbona ya Libya na Syria huzungumzii...?
sio kila kitu utafuniwe...ile ndege ya Lockerbie sio muamar aliye idhinisha ilipuliwe? syria ni mvurugano wa madheheb kule waswahili wanasema penye usaha hukosi inzi [emoji4]
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kiduku ni joka la maonyesho tu, halidhuru, kama mwanaume kweli apige basi hata meli moja tuone kama hajaenda kuwasalimia babake na babu yake. Mbwembwe nyingi tu kila siku.
 
Gen Mattis aka the mad dog nasikia siku hizi kawa the mad duck dadek kiduku kweli balaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kim Jong Chuma cha moto kile,

Mattis huyo mkongwe siku hizi kawa mstarabu. Sababu anajua kipindi hiki watu wana jielewa wanacho kifanya na wala hawatishiki.
 
Hata mende kushinda chooni kulabua mavi hatishiki..[emoji4]
 
Back
Top Bottom