Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,731
- 3,527
Akue mara ngapi, wakati pembezoni mwa Kitanda ana mtoto mrembo balaaAkikua ataacha..
Akue mara ngapi, wakati pembezoni mwa Kitanda ana mtoto mrembo balaaAkikua ataacha..
Naingojea Twitter yake, sijui atakuja na uhalo gani...Naona imebidi Trump awe mpole tu,,
haya mambo huwa hayataki hasira..
US ni UN na UN ni US ndio maana US hahitaji ruhusa ya UN kufanya bidding zake. UN is US ndani ya mask. Historian onaonyesha kuwa dunia huwa inakuwa na mbabe mmoja tu katika vipindi tofauti, wengine huwa ni matawi tu, leo wanaitwa washirika. Kwa kipindi chetu sisi US/UN ndo mbabe. Sijui kama atakuja kuibuka mwingine baada yake. N. Korea na wengine sampuli take watakalishwa tu kwa lazima ni suala la muda tuShida Dunia haina haki , hao UN ni vibaraka wa US na rafiki zake , ndio maana NK hawasikilizi , sasahivi US inashambulia maeneo ya syria bila ya ruhusa ya syria govt , huo ni ukiukaji wa sheria za UN lakini hatujasikia tamko lolote kutoka UN
Mbona mbuzi kazaliwa ana ndevu..kakua eeh[emoji47] [emoji4]Akue mara ngapi, wakati pembezoni mwa Kitanda ana mtoto mrembo balaa
Huyo kazaliwa akiwa mtu mzima, kwa hiyo huwezi kumpangia cha kufanya akiwa Nyumbani kwake...Mbona mbuzi kazaliwa ana ndevu..kakua eeh[emoji47] [emoji4]
Kama mbuzi kazaliwa nyumbani kwake ilaha anapangiwa siku ya kuchinjwa.. [emoji4]Huyo kazaliwa akiwa mtu mzima, kwa hiyo huwezi kumpangia cha kufanya akiwa Nyumbani kwake...
Ushasema mbuzi, mie ndio nakwambia sasa huyu ndiye Kim Jong un kama una mfananisha na mbuzi mwambie Mmarekani Katie pua uone...Kama mbuzi kazaliwa nyumbani kwake ilaha anapangiwa siku ya kuchinjwa.. [emoji4]
Atie mguu Mara ngapi mbona popo bawa yupo sebuleni [emoji117]Ushasema mbuzi, mie ndio nakwambia sasa huyu ndiye Kim Jong un kama una mfananisha na mbuzi mwambie Mmarekani Katie pua uone...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ushasema mbuzi, mie ndio nakwambia sasa huyu ndiye Kim Jong un kama una mfananisha na mbuzi mwambie Mmarekani Katie pua uone...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hiyo sebule itakuwa ya South, siyo ya kichaa KidukuAtie mguu Mara ngapi mbona popo bawa yupo sebuleni [emoji117]
Sent from my TECNO-M3 using JamiiForums mobile app
Atie mguu Mara ngapi mbona popo bawa yupo sebuleni [emoji117]Ushasema mbuzi, mie ndio nakwambia sasa huyu ndiye Kim Jong un kama una mfananisha na mbuzi mwambie Mmarekani Katie pua uone...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ushasema mbuzi, mie ndio nakwambia sasa huyu ndiye Kim Jong un kama una mfananisha na mbuzi mwambie Mmarekani Katie pua uone...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hiyo sebule itakuwa ya South, siyo ya kichaa Kiduku
Thubutuuuu...Atie mguu Mara ngapi mbona popo bawa yupo sebuleni [emoji117]
Sent from my TECNO-M3 using JamiiForums mobile app
Tumenyimwa shule tumebakia kwenye ushabiki... [emoji117]![]()
Yupo sebuleni popo bawa..[emoji30][emoji379] [emoji4]
Yaliyo mkuta sadam ibn Hussein...yatamkuta [emoji24] [emoji24]Thubutuuuu...
Anga ya Korea Kaskazini usiifananishe na anga ya koromije...
Ina maana mpaka sasa hivi bado tuu mmekalili kumfananisha Saddam Hosseini na Kim Jong un wa Korea Kaskazini...?Yaliyo mkuta sadam ibn Hussein...yatamkuta [emoji24] [emoji24]
Hawana cha kumchunguza [emoji12] wesha mjua mpaka makalio na komwe yake ina mikunjo ka kisoda... [emoji39] [emoji4]Ina maana mpaka sasa hivi bado tuu mmekalili kumfananisha Saddam Hosseini na Kim Jong un wa Korea Kaskazini...?
Juzi hapo Drone yao ilishushwa kwenye anga ya China ikitaka kumfanyia upelelezi Korea Kaskazini. Sasa ujiulize kwa nini asingetumia anga ya Korea Kaskazini yenyewe kumchunguza...?
Wanangoja nini sasa kumshambulia...?Hawana cha kumchunguza [emoji12] wesha mjua mpaka makalio na komwe yake ina mikunjo ka kisoda... [emoji39] [emoji4]
Kuna hatari ya kuua mania ya watu kwa ajili ya mtu mmoja mwenye taaluma ya wazimu..dawa yake inatokoka stay tuned [emoji4]Wanangoja nini sasa kumshambulia...?
Je, huko Iraq, Syria na Libya waliua wangapi kwa ajili ya mtu mmoja..?Kuna hatari ya kuua mania ya watu kwa ajili ya mtu mmoja mwenye taaluma ya wazimu..dawa yake inatokoka stay tuned [emoji4]