Korea Kaskazini yarusha kombora la kushambulia meli

Korea Kaskazini yarusha kombora la kushambulia meli

Wanaume kazini...dadeq viva north vivaaa, kim naomba urushe na kwenda mars kwanza wasije wakaenda kujifichia huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mna vituko nyie watu, hahahah liende wapi Mars wasije wakajificha huko????
 
Mbona anayarusha ovyo ovyo baharini bila target wala nini kama mwendawazimu! Hebu alenge basi japo kimtumbwi kibovu kilichotelekezwa baharini huko aupate mziki wake.
Amenipigia simu amesema linalofata ni. From pyongyang to washngton
 
Korea kaskazini imerusha makombora kadha ya kushambulia meli mashaiki mwa Pwani yake, kwa mujibu wa Korea Kusini

Mamlaka zilisema kwa makombora hayo yaliyorushwa Alhamisi asubuhi karibu na mji wa Wonsan yalikuwa ni ya masafa mafupi.

Makombora hayo yaliruka umbali wa kilomita 200 kabla ya kuanguka baharini.
Majaribio ya makombora ya Korea Kaskazini mwaka huu yamekiuka vikwazo vya Umoja wa Mataifa.

Wataalamu wana hofu kuwa majaribio hayo na hatua za Korea kutundika silaha za nuklia katika vichwa vya makombora.

Msemaji wa Jeshi la Korea Kusini amesema kuw majiribio ya hivi punde yalionyesha kuwa Korea Kaskazini ilitaka kuonyesha kuwa ina uwezo wa kulenga meli kubwa baada ya mazoezi ya hivi majuzi kati ya Marekani na vikosi vya Korea Kusini.

Makomboa ya kushambulia meli ni makombora ambayo huelekezwa. Mwaka 2012 Korea Kaskazini ilionyesha makomboa kadha kama hayo yanayojulikana kama Styx.

Lakini hapo awali Korea ilijaribu bila mafanikio kufanyia majaribio makombora ya kushambulia meli.

Chanzo: BBC Swahili
Next tym hiyo rangi uliyotumia sio nzuri kwa kusoma. Tumia rangi nyingine. Sorry lakini.
 
Natamani kiduku angezilenga meli za marekani zilizotia nanga korea kusini
 
Huyu dogo from the bottom of my heart namkubali sana.
 
Unabarikiwa na kiduku? Lazima uwe una kasoro fulani sio bure. Baraka hutoka kwa mmoja tu; no wonder mnamwabudu; anyway, ndio hulka za makomunisti.
huyo unaemsema mungu bila wazungu ungemjua au ni kule bendera fuata upepo?
walio leta dini hawahangiki nao saiv wanahangaika na technolojia mpya ya nuclear tu.
 
Mbona anayarusha ovyo ovyo baharini bila target wala nini kama mwendawazimu! Hebu alenge basi japo kimtumbwi kibovu kilichotelekezwa baharini huko aupate mziki wake.
Kwa nini asianze kwanza US, arushe hata risasi moja tu kuelekea NK?
Trump mwenyewe mnayemshabikia ni mwoga kuliko hata KUNGURU.
 
Safi sana kiduku. Hicho ndicho kinachotakiwa kwa watu kama US.
 
Akuna kumuogopa mtu,kwa hili USA lazm wafyate mikia...maana wao wanawawekea vikwazo wenzao kutumia,nyuklia wakat wao wanazimiliki..apo ngoma droo af bado wasubili na mifujo ya vardmil purtin uko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu dogo from the bottom of my heart namkubali sana.
Mungu ampe maisha marefu na ujasiri huo huo. Viongozi wengi wa Africa wanamtizama kama mtoto mtundu ila kuna mengi sana ya kujifunza mojawapo ni kuwa na kipaumbele na kukisimamia ipasavyo dunia itambue. Sio kila siku matamko bila kuwa tumefanikisha walau moja kwa ufanisi mkubwa. Angekuja tu ashughulikie sekta ya madini aishie zake kwao.
 
Wataeleweka tu. Wao maneno matupu sisi vitendo tu.

Pamoja sana timu Kiduku.
 
Namkubali sana kiduku nakama itaitajika msada wakuchang





Namkubali sana kiduku naikitokea vita mimi ntawashauli washabiki wa kiduku nikiwemo namimi kuachangia damu na kuzituma
 
Back
Top Bottom