Korea Kaskazini yarusha kombora Bahari ya Japan

Korea Kaskazini yarusha kombora Bahari ya Japan

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,427
Korea Kaskazini kwa mara nyingine imepuuzilia mbali marufuku iliyowekwa na jamii ya kimataifa na kufyatua kombora kutoka kwenye nyambizi.

Jeshi la Marekani limesema liliweza kufuatilia kombora hilo lililopaa hadi umbali wa kilomita mia tango kabla ya kuanguka katika Bahari ya Japan.

Kurushwa kwa kombora hilo kumefanyika huku mawaziri wa mambo ya nje kutoka Japan, China na Korea Kusini wakiendelea na mkutano wao mjini Tokyo.

Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe ameelezea kitendo cha Korea Kaskazini kuwa kisichoweza kukubalina na kwamba ni tishio kwa usalama wa taifa lake.

Awali, Korea Kaskazini ilikuwa imeonya kuwa mazoezi ya kijeshi yanayoendelea kwa sasa kati ya wanajeshi wa Marekani na Korea Kusini yanaongeza hatari ya kuzuka vita rasi ya Korea.

_90895216_swahili_north_korea_sea_japan.png

Mazoezi hayo ambayo yamepewa jina Ulchi Freedom yanashirikisha wanajeshi 80,000 wa Marekani na Korea Kusini na ni mwigo wa jinsi ya kujikinga dhidi ya uvamizi dhahania kutoka kwa Korea Kaskazini.

Korea Kaskazini imepigwa marufuku na UN kutumia teknolojia ya makombora marefu na nyuklia.

Lakini miezi ya karibuni, imerusha makombora kadha na inaaminika kukaribia kufanya jaribio la tano la bomu la nyuklia.

Chanzo: BBC Swahili

Inapendeza,lkn je siku marekani ikifanikiwa kupenyeza majasusi wake na kusambaratisha nchi hiyo itakuwaje?.pia nitafuatilia maendeleo ya kipato,kilimo,elimu na mengineyo ktk nchi hii maana toka nimezaliwa nawasikiaga ktk urushaji makombora tu.
 
North Korea has fired three ballistic missiles into the sea off its east coast, say US and S Korean officials.

missiles into the sea off its east coast, say US and S Korean officials.
The missiles were launched from the Hwangju region, said South Korea's Joint Chiefs of Staff (JCS) and flew about 500km (310 miles) to 600km.
The US said the first two were believed to be short-range Scuds while the third was a mid-range Rodong or Nodong.
It comes after the US and South Korea said they would deploy an anti-missile system to counter the North's threats.
North Korea is barred by UN sanctions from any test of nuclear or ballistic missile technology. But tensions have soared since it carried out its fourth nuclear test in January.
South Korea's Prime Minister Hwang Kyo-ahn said missile tests had been "a rare phenomenon in the past" but had been taking place "continuously" this year.
"The threat to our national security has grown very quickly in a short period of time," he said.
It has also conducted several launches in recent months, including a test of
mid-range missiles in June which were considered its most successful yet.
Seoul has said activity detected recently in North Korea indicates it could be preparing to conduct a fifth nuclear test imminently.
North Korea's missile programme
North Korea nuclear tests: what did they achieve?
North Korea's nuclear programme: How advanced is it?
'A grave threat'
The latest launches happened between 05:45 local time (20:45 GMT on Monday) and 06:40, the South's military said, in a statement quoted by the Yonhap news agency.
"The ballistic missiles flight went from 500km to 600km, which is a distance far enough to strike all of South Korea including Busan," South Korea's military said in a statement. Busan is a port city in the south.
The US Strategic Command said it had tracked the launches, but that they had posed no risk to US interests.
Japan's Defence Minister Gen Nakatani echoed the condemnations, saying the launches were "an act of provocation that undermines regional and international security," and adding that Japan "will take all possible measures to deal with any situation".
What is the Terminal High Altitude Area Defense System (THAAD)?
Shoots down short- and medium-range ballistic missiles in the terminal phase of their flight
Uses hit-to-kill technology - where kinetic energy destroys the incoming warhead
Has a range of 200km and can reach an altitude of 150km
US has previously deployed it in Guam and Hawaii as a measure against potential attacks from North Korea
1. The enemy launches a missile
2. The Thaad radar system detects the launch, which is relayed to command and control
3. Thaad command and control instructs the launch of an interceptor missile
4. The interceptor missile is fired at the enemy projectile
5. The enemy projectile is destroyed in the terminal phase of flight
The launcher trucks can hold up to eight interceptor missiles.
JCS spokesman Jeon Ha-gyu condemned the launches as "a provocative action which poses a grave threat to our national security and our people".
He said it was an "armed protest" to the planned deployment of the Terminal High Altitude Area Defense (THAAD) anti-missile system.
South Korea has said the system will be based in the town of Seongju, in the south-east, where the move had faced local opposition.
The North's military had warned it would retaliate with a "physical response".
China has also criticised the decision, saying it will destabilise security in the region.
 
Sawa ila cku akishughulikiwa na bwana mpenda vita hawa wanaomsifia kim wataanza sema ooh wameonewa
 
Naona ndugu yangu ameamua kuchagua kajapan kawe mfano,sasa kama Japan ni kidume ajibu mapigo,Atakuwa mfano bora kwa mume wake USA
 
Korea Kaskazini wako kiulinzi hawatishwi kizembe...
 
Naona ndugu yangu ameamua kuchagua kajapan kawe mfano,sasa kama Japan ni kidume ajibu mapigo,Atakuwa mfano bora kwa mume wake USA
Siyo kosa lako ni kosa la ccm kukunyima Elimu.

Japan si taifa la Kuchezea wewe, kijeshi na kiuchumi, usione wapo kimya ukadhani eti Korea kaskazini ndo kidume
Siku mambo yakimgeuka Huyo Kim wenu mtabaki kusema kuwa anaonewa.
Narudia tena kukuambia japan si taifa la mchezo kabisa, North Korea ni mtoto sana kwa Japan.
Japan haitaki baada ya madhara ya Vita kuu ya pili ya dunia, ila ikizidi kuchokozwa itaonyesha mfano.
 
Nadhani wewe ndo umenyimwa elimu na huyo babaenu ccm,na una ushabiki mwingi,unadhani NORTH KOREA ndo taifa la kuchezewa?? Rudi shule,hujui elimu yangu shut up
 
Huyo dogo lazima apigwe shughuli ya mwisho ifanyike hapo Korea
 
Nyie mnaichezea Japan? waulize wachina au wamarekani mkiona wamekaa kimya haimaanishi uwezo hawana
 
Naona ndugu yangu ameamua kuchagua kajapan kawe mfano,sasa kama Japan ni kidume ajibu mapigo,Atakuwa mfano bora kwa mume wake USA
Japan ni civilized country kwanini ajibu mapigo kwa ki nchi kama north korea? Au wewe unajua japan ni sawa na Tanzania? Japan ni kati ya nchi zenye uchumi mkubwa na jeshi kubwa duniani wakiamua kujibu mapigo north itasambaratika ndani ya mwezi mmoja
 
Siyo kosa lako ni kosa la ccm kukunyima Elimu.

Japan si taifa la Kuchezea wewe, kijeshi na kiuchumi, usione wapo kimya ukadhani eti Korea kaskazini ndo kidume
Siku mambo yakimgeuka Huyo Kim wenu mtabaki kusema kuwa anaonewa.
Narudia tena kukuambia japan si taifa la mchezo kabisa, North Korea ni mtoto sana kwa Japan.
Japan haitaki baada ya madhara ya Vita kuu ya pili ya dunia, ila ikizidi kuchokozwa itaonyesha mfano.
Kwahyo ww elimu yako ndio inakueleza kwamba Japan ni taifa hatar kuliko n.Korea? Lete vielelezo
 
Japan ni civilized country kwanini ajibu mapigo kwa ki nchi kama north korea? Au wewe unajua japan ni sawa na Tanzania? Japan ni kati ya nchi zenye uchumi mkubwa na jeshi kubwa duniani wakiamua kujibu mapigo north itasambaratika ndani ya mwezi mmoja
Kwa hiyo we unajua North Korea ni sawa na Tanzania?? Wataisambaratisha?????
 
Nadhani wewe ndo umenyimwa elimu na huyo babaenu ccm,na una ushabiki mwingi,unadhani NORTH KOREA ndo taifa la kuchezewa?? Rudi shule,hujui elimu yangu shut up
unaposema NK sio taifa la kuchezewa ndio apate aende kurusha kombora sehemu ya japan??
japan ni mpole sana hataki fujo na mtu, na kiteknolojia+kiuchumi japan yupo juu zaidi ya NK.
 
Japan ni civilized country kwanini ajibu mapigo kwa ki nchi kama north korea? Au wewe unajua japan ni sawa na Tanzania? Japan ni kati ya nchi zenye uchumi mkubwa na jeshi kubwa duniani wakiamua kujibu mapigo north itasambaratika ndani ya mwezi mmoja
Umeongea,sana ila hujajua nini maana ya vita
 
unaposema NK sio taifa la kuchezewa ndio apate aende kurusha kombora sehemu ya japan??
japan ni mpole sana hataki fujo na mtu, na kiteknolojia+kiuchumi japan yupo juu zaidi ya NK.
unaposema NK sio taifa la kuchezewa ndio apate aende kurusha kombora sehemu ya japan??
japan ni mpole sana hataki fujo na mtu, na kiteknolojia+kiuchumi japan yupo juu zaidi ya NK.
unaposema NK sio taifa la kuchezewa ndio apate aende kurusha kombora sehemu ya japan??
japan ni mpole sana hataki fujo na mtu, na kiteknolojia+kiuchumi japan yupo juu zaidi ya NK.
unaposema NK sio taifa la kuchezewa ndio apate aende kurusha kombora sehemu ya japan??
japan ni mpole sana hataki fujo na mtu, na kiteknolojia+kiuchumi japan yupo juu zaidi ya NK.

kama japani yuko vizuri kiuchumi na kiteknolojia kwanini hakuweza kuling'amua hilo bom kabla halijatua kwake
 
Back
Top Bottom