Korea Kaskazini yarusha kombora Bahari ya Japan

Korea Kaskazini yarusha kombora Bahari ya Japan

Kuna haja ya kuingalia North Korea kwa Jicho pevu!! Adui yake ni nani hasa?? Ni msouth korea?ni mmarekani?ni mjapani?au ni yeyote tu! Ana inferiority complex!! Anahisi kila anayemtazama anataka ugomvi,mrusi ana mengi ya kufanya!unadhani anaweza kuwa best companion kwa kichaa huyu?so many questions.
 
Back
Top Bottom