Korea Kaskazini kulipua bomu la nyuklia

Korea Kaskazini kulipua bomu la nyuklia

Picha linaloendelea naona hamna anayelielewa. ..Marekani kila siku itaendelea kuweka vikwazo na kupiga mkwara NK...wanajuana.

Ndio maana nasema picha hamulielewi.
 
[emoji3] [emoji3]

Kama aliweza kuifanya USSR ikawa historia,ni kituko hiki umeandika.

Unatakiwa ujiulize atagharamia yote hayo ili apate nini kwa NK??? Hii ndio kanuni ya US.huna kitu hana time nawewe.

Mkuu Marekani haikuhusika chochoche kusambarakita kwa USSR, kiongozi wa USSR pamoja na Serikali yake ndio walihamua wenyewe muungano huo usitishwe ili nchi zilizokuwa chini ya Kremlin wajihamlie mambo yao wenyewe - kusema kweli vinchi vyenyewe ni vidogo sana save Kazakhstan na Ukraine - vinchi vyote hivyo vilikuwa vinaitegemea Urusi kwa mambo mengi tu.

Nikiona watu wanakuja humu na propaganda zao na kudai eti Marekani ndio ilifanikiwa kuisambaratisha USSR wakati mwingine kudai eti US ndio walishinda vita vya baridi, madai hayo yanashangaza sana! Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya members wanasadiki propaganda hizo ambazo hazina ukweli wowote!

Ukweli wa mambo ni kwamba muhusika mkuu wa kumshawishi Rais Reagan ahachane na vita baridi na Urusi alikuwa ni mkewe Reagan yaani Mrs Nancy, Reagan alikuwa anasikiliza sana ushauri wa mkewe, mama huyo alifikia mahamuzi hayo baada ya kusoma kitabu cha mwindishi wa Marekani nimesahau jina lake kilifafanau kiundani madhala na ubaya wa kuendeleza vita baridi baina ya Urusi na Marekani.

Mama huyo alimwambia mumewe anyanyuwe simu/hotline azungumze na Rais Gorbarchev wa USSR wakutane na kutafuta njia muhafaka za kumaliza vita baridi, katika mazungumzo yaliyo fuata mama huyo alihakikisha ma neocon wapenda vita hawahusishwi kwenye mikutano ya kupanga makubaliano, she was so powerful behind the scene na mumewe alikuwa anasikiliza sana ushauri wake.

Mambo mengine mengi yalifuata baada ya hapo - lakini all in all makubaliano ya kusitisha vita baridi yalikuwa baina ya nchi hizo mbili na yalikuwa ya hiari hapakuwepo na shinikizo wala ushindi wa taifa lolote katika vita baridi, makubaliano yalianza kuvurugwa tataratibu kwenye utawala wa Clinton katika utawala wa Bush mambo yalikuwa shwali kabisa mambo yamekuja kuwa mabaya zaidi chini ya utawala wa Obama, ma neocon na matajiri wa viwanda vya kuhunda silaha wamenzidi nguvu, ndio wanaopendekeza kuizingira Urusi ma majeshi ya NATO, kama Trump anaweza kufanikiwa kwenda Ikulu basi ujinga unaoendelezwa na ma neocon chini ya Obama Trump ataukomesha amekwisha tamka hivyo - kusema kweli chini ya utawala wa Obama hali ya usalama Ulaya Mashariki ni tete sana lakini Warusi wamesema wamejipanga vilivyo kukabiliana na Tishio hilo jipya kwenye mipaka yake- binafsi nina imani wanacho sema.
 
Hizo pesa north korea si wangewekeza kwingine kweny tija ya maisha ya wananch wake.
 
Nahisi marekani walishafanya mipango mingi ya insurgency ila inakwama kwa kuwa NK ni taifa lenye intelligence ya ndani ya hali ya juu, insurgents wanashtukiwa fasta na adhabu yao ni kifo.

NK sio volatile kama waarabu, Marekani halali ingawa yeye ni superpower. Janja yake hawezi kufua dafu kwa NK, Marekani akitaka kufanya chochote kwa waarabu anafanya, yeye alifadhili insurgency iliyoleta Arab spring ilikumba karibia nchi zote za kiarabu kama Tunisia, Egypt, Libya, Syria, Yemen nk..

Mimi nashangaa sana Marekani ilienda kuivamia Iraq mwaka 2003 kwa kisingizio cha umiliki wa silaha za maangamizi, wakati hawa NK wakiongozwa na Familia ya Kim kila siku wanajigamba na kuitangazia dunia kuwa wanafanya majaribio ya silaha hatari mara utasikia A-bomb mara H-bomb sijui long range, short range ballistic missiles na nuclear warheads Ila marekani anaishia kuweka vikwazo ambazo wa NK wenyewe wanaviona sawa na mundu isiyokata ama kibogoyo asiye na jino hata moja.

Kwanini hawamvamii NK? kila siku waNK waona wanapata ushindi. Au kuna agenda ya siri hapo na wanatuletea conspiracy????
we unataka Marekani akavamie NK ili afaidike na nini hasa?..We uanfkir congress watakaa chini na kupitisha U.S kuingia at war isiyo na faida yyte kwa nchi....Ile vita ya iraq ilikuwa complicated kidogo sio rahisi kama hii ya NK...WMD ilitumika kama kisingizio tuu but agenda kubwa wanaijua wao U.S
 
Mkuu Marekani haikuhusika chochoche kusambarakita kwa USSR, kiongozi wa USSR pamoja na Serikali yake ndio walihamua wenyewe muungano huo usitishwe ili nchi zilizokuwa chini ya Kremlin wajihamlie mambo yao wenyewe - kusema kweli vinchi vyenyewe ni vidogo sana save Kazakhstan na Ukraine - vinchi vyote hivyo vilikuwa vinaitegemea Urusi kwa mambo mengi tu.

Nikiona watu wanakuja humu na propaganda zao na kudai eti Marekani ndio ilifanikiwa kuisambaratisha USSR wakati mwingine kudai eti US ndio walishinda vita vya baridi, madai hayo yanashangaza sana! Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya members wanasadiki propaganda hizo ambazo hazina ukweli wowote!

Ukweli wa mambo ni kwamba muhusika mkuu wa kumshawishi Rais Reagan ahachane na vita baridi na Urusi alikuwa ni mkewe Reagan yaani Mrs Nancy, Reagan alikuwa anasikiliza sana ushauri wa mkewe, mama huyo alifikia mahamuzi hayo baada ya kusoma kitabu cha mwindishi wa Marekani nimesahau jina lake kilifafanau kiundani madhala na ubaya wa kuendeleza vita baridi baina ya Urusi na Marekani.

Mama huyo alimwambia mumewe anyanyuwe simu/hotline azungumze na Rais Gorbarchev wa USSR wakutane na kutafuta njia muhafaka za kumaliza vita baridi, katika mazungumzo yaliyo fuata mama huyo alihakikisha ma neocon wapenda vita hawahusishwi kwenye mikutano ya kupanga makubaliano, she was so powerful behind the scene na mumewe alikuwa anasikiliza sana ushauri wake.

Mambo mengine mengi yalifuata baada ya hapo - lakini all in all makubaliano ya kusitisha vita baridi yalikuwa baina ya nchi hizo mbili na yalikuwa ya hiari hapakuwepo na shinikizo wala ushindi wa taifa lolote katika vita baridi, makubaliano yalianza kuvurugwa tataratibu kwenye utawala wa Clinton katika utawala wa Bush mambo yalikuwa shwali kabisa mambo yamekuja kuwa mabaya zaidi chini ya utawala wa Obama, ma neocon na matajiri wa viwanda vya kuhunda silaha wamenzidi nguvu, ndio wanaopendekeza kuizingira Urusi ma majeshi ya NATO, kama Trump anaweza kufanikiwa kwenda Ikulu basi ujinga unaoendelezwa na ma neocon chini ya Obama Trump ataukomesha amekwisha tamka hivyo - kusema kweli chini ya utawala wa Obama hali ya usalama Ulaya Mashariki ni tete sana lakini Warusi wamesema wamejipanga vilivyo kukabiliana na Tishio hilo jipya kwenye mipaka yake- binafsi nina imani wanacho sema.
Acha kuleta stori zako za kutunga hapa..eti mkewe reagen!!..imeandikwa wapi..ivi mtaukataa ukweli hadi lini?...yaani ussr ndo waliamua kuvunjika wenywe bila sababu yyte!!...Embu kubali tu mkuu...mpaka leo adui mkubwa wa russia ni US...why kam waliachnan for good?...acheni kujifariji kwa stori za kutunga ili tu ufurahishe jukwaa na uonekane unajua kumbe holaa...Tupe reliable source tukajisomee wenywe basi
 
we unataka Marekani akavamie NK ili afaidike na nini hasa?..We uanfkir congress watakaa chini na kupitisha U.S kuingia at war isiyo na faida yyte kwa nchi....Ile vita ya iraq ilikuwa complicated kidogo sio rahisi kama hii ya NK...WMD ilitumika kama kisingizio tuu but agenda kubwa wanaijua wao U.S
Mkuu nadhani hukunielewa vizuri, hoja yangu imejikita kwenye double standards za USA katika sera zao za kimataifa, lengo langu sio kushuhudia mauaji katika vita bali ni kuhoji uhalali wa baadhi ya maamuzi ya USA.

Ukisema NK hakuna kitu kinachoweza kuwafanya USA wasiivamie sio sahihi, kwani USA ana maslahi yake yanayotishiwa na NK huko Korean peninsula na Japan. Pia ni strategic area kwa USA.

Unafikiri USA walipata nini walipokwenda Vietnam mwaka 1955-1975? Je Congress walikurupuka?
 
Back
Top Bottom