kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,150
- 15,382
Vip bado una Imani kwamba vikosi vya Putin vitaweza kusonga Hadi Kyiv na kuipindua utawala wa zelensiky [emoji848]Mambo mengine bwana,mataifa mangapi yamejitangaza adhalahi kwamba yatapeleka wanajeshi Ukraine kumsaidia Zelensky? Hakuna, badala yake wanatoa misaada tu lakini sio boots on the ground,unajuwa kwa nini hawajitokezi adhalani na kusema watapeleka wanajeshi nchini Ukraine kupambana na jeshi la Russia - because deep down they know kwamba onyo la Putin silo la kuchukulia kimzaa mzaa hata kidogo, ndio maana wananywea wanaishia kusema sema maneno chungu mzima yenye lengo la kumwaribia sifa Putin.
Kama ni kweli Kim anapeleka wanajeshi laki moja huko Urusi/Ukraine hao watakuwa wamejitolea tu na sio kwamba Russia inakabiliwa na upungufu wa wanajeshi, after all raia wengi wa Urusi wamepitia mafunzo ya kijeshi kwa miaka mitatu mitatu,sasa ili la kusema eti Urusi imepungukiwa wanajeshi habari hizo ni za kutunga si unajua tena, mara Urusi imeishiwa missiles pamoja na ammunitions zimebaki za wiki mbili tu - uongo mtupu wenye lengo la kuonyesha Urusi imelemewa - usanii wa media za magharibi, hawakosi kisingizio.
Wachambuzi wa mambo wanasema Urusi ilitumia wanajeshi 150,000 tu kwenye operation ndani ya Ukraine,infantry haikutumiwa sana ndio maana tulikuwa hatuoni askari wengi wa miguu wakiongozana na vifaru pamoja na APC hivyo idadi ya vifyo vya askari ni minimum,kama mnakumbuka vizuri hata askari sniper kutoka Canada aliwahi kukiri kwamba ni mara chache kukutana na askari wa miguu wa Urusi,yeye mara yote alikuwa anakutana na vifaru na APCs tu,basi. What does that tell you.
Wewe cheusi mangala ndo tajiriNiamini mimi hao mafukara wanaiombea hiyo siku ifike wahame NK mazima hata vitani hawaendi
First thing first, please stick to the main point, mark you - hapa hatuzungumzii masuala ya silaha, sijui kwa nini una kawaida ya kupindisha pindisha hoja, oh yes,turning everything inside out and upside down!!Kwani mataifa mangapi yametangaza kuisaidia Ukraine silaha, unafikiri Putin anapenda Ukraine asaidiwe silaha za kuwafyeka wanajeshi wa urusi na ule msafara wao wa 64km? Au unafikiri Putin ana Cha kuwafanya US, Turkey, Poland, France, UK, Germany, nk ambao wameisaidia Ukraine silaha ambazo zinatoa roho za warusi! Russia maji ya shingo, yeye asaidiwe na yeyote yule lakin kipo palepale.
Mimi cheusi mangala;Wewe cheusi mangala ndo tajiri
Oh is it?? Now let's talk about Uncle SAM's VietNam and Afghanistan fiasco - shall WE.Putin made great mistake to underestimate Ukraine [emoji848]
Then they have to pay heavy price..Putin made great mistake to underestimate Ukraine [emoji848]
Sio kwamba hao wanamgambo wanakwenda kuwashikisha ukuta Zele na wanajeshi wake. TULIA kijana uangalie chezoHao wanajeshi wa Kiduku wana njaa mno,hawajui lolote ngoja wakageuzwe mbolea ya kukuzia alizeti
Here we go again!! How long did take US forces fighting a futile war in VietNam, how about Afghanistan fiasco twenty odd years achieving nothing at the end of the day save the Talibanis going back on drivers seat to run Afghanistan Govt once again.The time has exposes their weaknesses.. Noone gives them attention anymore.
I thought Russia claimed to have weapons that can destroy the antile world why still she's struggling in Ukraine until now?.
Believe autocratic governments at your own peril. They are going to secrifice those small boys for theirs interests.
God curse them
Ivi wewe una akili timamu kweli kwaiyo ivyo vifaru na izo APC vinakuwa ninaongozwa ama kuendeshwa na nani ndugu mtangazaji??Mambo mengine bwana,mataifa mangapi yamejitangaza adhalahi kwamba yatapeleka wanajeshi Ukraine kumsaidia Zelensky? Hakuna, badala yake wanatoa misaada tu lakini sio boots on the ground,unajuwa kwa nini hawajitokezi adhalani na kusema watapeleka wanajeshi nchini Ukraine kupambana na jeshi la Russia - because deep down they know kwamba onyo la Putin silo la kuchukulia kimzaa mzaa hata kidogo, ndio maana wananywea wanaishia kusema sema maneno chungu mzima yenye lengo la kumwaribia sifa Putin.
Kama ni kweli Kim anapeleka wanajeshi laki moja huko Urusi/Ukraine hao watakuwa wamejitolea tu na sio kwamba Russia inakabiliwa na upungufu wa wanajeshi, after all raia wengi wa Urusi wamepitia mafunzo ya kijeshi kwa miaka mitatu mitatu,sasa ili la kusema eti Urusi imepungukiwa wanajeshi habari hizo ni za kutunga si unajua tena, mara Urusi imeishiwa missiles pamoja na ammunitions zimebaki za wiki mbili tu - uongo mtupu wenye lengo la kuonyesha Urusi imelemewa - usanii wa media za magharibi, hawakosi kisingizio.
Wachambuzi wa mambo wanasema Urusi ilitumia wanajeshi 150,000 tu kwenye operation ndani ya Ukraine,infantry haikutumiwa sana ndio maana tulikuwa hatuoni askari wengi wa miguu wakiongozana na vifaru pamoja na APC hivyo idadi ya vifyo vya askari ni minimum,kama mnakumbuka vizuri hata askari sniper kutoka Canada aliwahi kukiri kwamba ni mara chache kukutana na askari wa miguu wa Urusi,yeye mara yote alikuwa anakutana na vifaru na APCs tu,basi. What does that tell you.
Exactly!Then they have to pay heavy price..
Over 6 months now they haven't even annexed any city or village dispite Cremia and Donabas. , wasting resources, equipments time and causes unwanted inflation in the world.
This teaches us that the power shouldn't given to one person.
Pro nato huwa hamna akili kuna sehemu kaomba?Zilipendwa oooh HIMARS zimebadiri upepo huko.... Putin anaaibika leo kweli putin wakuomba askari wa akiba north korea? [emoji1787][emoji1787]
Umedanganya. Kwanza, Red Army lilikuwa jeshi la Soviet Union likilithiwa kutoka kwa Bolsheviks na lilikufa mwaka 1946 muda mfupi baada ya kumaliza WW2. Cold war wakati inaanza hata haijalikuta.Umechelewa kujua ata ww kuwa Russia katika Operation yake huko Ukraine hajatumia Red Army ila anatumia wanajeshi wa kukodi Wagner Group pia unatumia jeshi la watu wanaotaka kujitenga DPL?
Abi, are we talking about US or Russia?. I guess you got nothing to say about Russia's failures that why you want to divert the subject.Here we go again!! How long did take US forces fighting a futile war in VietNam, how about Afghanistan fiasco twenty odd years achieving nothing at the end of the day save the Talibanis going back on drivers seat to run Afghanistan Govt once again.
Masikini Putin.., jamaa ana uchungu sana moyoni baada ya kuingizwa mkenge na washauri vilaza [emoji848]
Ange pambana na njaa inayoikumba nchi yake kwa hao wanajeshi kulima na mazao kuuzwa kwa Bei rahisi
The time has exposes their weaknesses.. Noone gives them attention anymore.
I thought Russia claimed to have weapons that can destroy the antile world why still she's struggling in Ukraine until now?.
Believe autocratic governments at your own peril. They are going to secrifice those small boys for theirs interests.
God curse them
Hamna shida broo. kwani dawa ipo imejaa na ya kutosha kabisa hata ziada inapatikana. We Waache wajipange foleni wajilete kama mbwa anavyojipeleka kwa chatu.Halafu utasikia Kwa Mpalange & Co; kujisifia humu Urusi anapigana mwenyewe bila msaada. Wanajishaulisha Iran, Syria, NK, Chechnya na vibaraka wake wote wako naye bega kwa bega battle field.
Zelensky akiendelea kumtunia misuli na kumdharau Putin au kuendelea kurusha rusha maroketi kwenye aridhi au ndani ya miji ya Russian Federation nina uhakika Putin atatumia uwezo wake kijeshi kikamilifu - hilo likitekelezwa Zelensky na Serikali yake itaondolewa madarakani fasta na hakuna Taifa lolote litaingilia kati kumunusuru atakimbilia Miami Florida kwenye Mansion yake - after all Zelensky is already stinking rich baada ya kupiga hela ndefu kwenye dubious deals kwenye vita hii inayo endelea huko Ukraine.Vip bado una Imani kwamba vikosi vya Putin vitaweza kusonga Hadi Kyiv na kuipindua utawala wa zelensiky [emoji848]
Mm cjawahi kusikia kwamba huwaga kuna "Small Operation ya kudumu" Ndo kwanza naisikia hii ya Urusi.pro nato mnachekesha kweli mtu ameamua mwenyewe kutoa offer ya wanajeshi wake waje kuisaidia Russia kwenye operation kiroho safi tu kuteseka mnateseka nyinyi ata wewe leo hii uki volunteer kwenda kuungana na Russia ukraine Russia wanakuchukua tu kwanza hii ni small operation siyo vita bado atujatangaza vita kamili
Sent using Jamii Forums mobile app