Konyagi Vs Valeur nini kiboko kunako game?

hakuna hata kimoja hapo ila ni afya na lishe yako tu.. pia jist gani unaweka ubongo wako kwenye game...

fanya mazoezi kule vyakula vyenye protein.. the goot state of mind... unapiga game mbaya..

halafu kupiga muda mrefu siyo ubabe bali kuridhishana ndiyo cha maana...
chief i couldn'nt agree more....jibu tosha kabisa.
 
ni kweli kabisa, wengine a glass of wine inatosha kabisa ila Tusker naweza kesha hadi mng bila kulala (usingizi unapotea kabisa)

Mkuu, kwani na wewe unakunywaga? ....aam, eeeh......aaah , mh thamahani, hv wewe ni baba au mama? :confused2:
 
Mkuu, kwani na wewe unakunywaga? ....aam, eeeh......aaah , mh thamahani, hv wewe ni baba au mama? :confused2:
heheheeeeeeeeeeh! nadumisha mila mkuu:welcome:kama jina langu linavyosomeka ndo jinsia yangu
 
siku hizi tatizo la nguvu limekuwa issue watu mpk m-boost na maulevi lol dunia inaelekea ukingoni tatizo ni nini haswa?
 
Mzee utalala, ukija kushituka ni asubuhi, binti kisha vaa anangoja hela yake ya nauli wakati hata hujamtomasa

hakuna kitu inanikera kama hii situation, du!yaani mzee umegharamika muda wote huo kisha usingizi na uchovu unakufanya ushindwe kupiga gwaride!na hawa watoto bila huruma asubuhi kama kawa anataka chake atambae...........aaaah!
 
Back
Top Bottom