Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,902
- 71,445
Watu tulijiuliza sana huu urafiki wa ghafla kati ya Kinana na Balozi wa China umetoka wapi? Mpaka wakajisahau na kumsimamisha jukwaani kinyume na Mkataba wa Vienna? Sasa ndio tunaanza kupata majibu ya mahaba haya ya hawa wawili.
Baada ya tukio lile la Shinyanga la Balozi wa China kuhudhuria mikutano ya Kinana ni Wachina wangapi wameshakamatwa na Pembe za Ndovu? Ukichunguza kwa makini hapo kuna kitu!
Baada ya tukio lile la Shinyanga la Balozi wa China kuhudhuria mikutano ya Kinana ni Wachina wangapi wameshakamatwa na Pembe za Ndovu? Ukichunguza kwa makini hapo kuna kitu!