Linganisha na Hai.Hii ndio Kongwa ,Mbunge wake Ndungai!View attachment 1751234View attachment 1751236

Mimi nimefika Kongwa, na niliwahi kuuliza humu Kwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!Kulinganisha Kongwa na Hai ni sawa na kufananisha VXR na IST
Nimemsikia Spika Ndugai wa jimbo la Kongwa amesema mh Mbowe alikuwa anazurura na hakuna alichokifanya wakati akiwa mbunge wa Hai kule Hai
Tunaangalie maendeleo katika majimbo mawili kwa wale waliowahi kufika majimbo haya mawili
1,Barabara za Halmashauri na TANROADS za Hai na Kongwa zikoje (Barabara za lami) ni km ngapi
2,Huduma ya afya,hospital, zahanati na vituo vya afya
3,Elimu,miundo mbinu ya shule za awali,msingi,sekondari na vyuo vikoje majimbo mawili
4,Maji,asilimia ngapi ya wananchi wa Kongwa na Hai wanapata maji safi,maji ya bomba na miundombinu yake
5,Shughuli za kibiashara,kilimo,ufugaji na kipato,na masoko,minada ,pia tuangalia ni Jimbo gani kati ya Hai na Kongwa kuna mazingira mazuri katika shughuli orodheshwa na kipato kutokana na shughuli husika
6,Watumishi wa umma,wapi watumishi wa umma wanapewa makazi bora ,support na matokeo mazuri kwa huduma zitolewazo na watumishi wa umma
7,Umeme,tuangalie usambazaji wa umeme wa REA na vijiji vingapi vimepata umeme kwa kila jimbo na vingapi bado
Wale ambao mnayafahamu haya majimbo haya mawili tunaomba mtuwekee data za majimbo haya mawili ili tuondoa utata wa walichofanya Spika Ndugai na mh Mbowe kwenye majimbo hayo mawili
Usijifiche kwenye kivuli cha farasi. Kongwa na Hai nisawa na usingizi na kifo. Wilaya ya kongwa ni masikini sana watu wake na maendeleo kule hakuna watu wanakunya poriniHii hoja inanikumbusha zile Cinema za Cowboy miaka ya 60's...Farasi Mweupe na Farasi Mweusi yupi anakimbia zaidi...au ukiitwa Farasi ulikuwa huchukii lakini ole wake akuite Punda..
Duh, wapiga kura wa supika wanakunya porini!!Sio shida tuu, bali ni utamaduni mpya kwao. Kuna watu huko kwa mbunge Job Ndugai hawajapata kutumia choo tokea wazaliwe
Karibu Pascal Mayala, nitaanza tena kusoma posts zako hapa, nilikuwa likizo kidogoP![]()
Kwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!
Wanabodi, Uwezo wa kiongozi mzuri, hupimwa kwa matokeo ya ahadi anazotoa kuwa iwapo atachaguliwa atafanya nini. Sasa inapotokea mmemchagua mtu, amekaa miaka 5, hajafanya lolote, na baada ya miaka 5, mmemchagua na hajafanya lolote, sasa leo tena, mmemchagua tena kwa miaka 5 ya mwingine...www.jamiiforums.com

Huko ndiyo watu wake wanakunya porini!!!Hii ndio Kongwa ,Mbunge wake Ndungai!View attachment 1751234View attachment 1751236
Kongwa imeendelea kwa mtizamo wa Spika msimlaumu ndio upeo wakeNimemsikia Spika Ndugai wa jimbo la Kongwa amesema mh Mbowe alikuwa anazurura na hakuna alichokifanya wakati akiwa mbunge wa Hai kule Hai
Tunaangalie maendeleo katika majimbo mawili kwa wale waliowahi kufika majimbo haya mawili
1,Barabara za Halmashauri na TANROADS za Hai na Kongwa zikoje (Barabara za lami) ni km ngapi
2,Huduma ya afya,hospital, zahanati na vituo vya afya
3,Elimu,miundo mbinu ya shule za awali,msingi,sekondari na vyuo vikoje majimbo mawili
4,Maji,asilimia ngapi ya wananchi wa Kongwa na Hai wanapata maji safi,maji ya bomba na miundombinu yake
5,Shughuli za kibiashara,kilimo,ufugaji na kipato,na masoko,minada ,pia tuangalia ni Jimbo gani kati ya Hai na Kongwa kuna mazingira mazuri katika shughuli orodheshwa na kipato kutokana na shughuli husika
6,Watumishi wa umma,wapi watumishi wa umma wanapewa makazi bora ,support na matokeo mazuri kwa huduma zitolewazo na watumishi wa umma
7,Umeme,tuangalie usambazaji wa umeme wa REA na vijiji vingapi vimepata umeme kwa kila jimbo na vingapi bado
Wale ambao mnayafahamu haya majimbo haya mawili tunaomba mtuwekee data za majimbo haya mawili ili tuondoa utata wa walichofanya Spika Ndugai na mh Mbowe kwenye majimbo hayo mawili
Nilitaka nimwite Lemutuz,kumbe yeye anatokea Mtera!Watu wa kongwa njooni mmtete mbunge wenu.
Hai maendeleo hakufanya mbowe kama mbunge ni wananchi walihamasika mapema kuwa na maendeleo ,ni sawa na Mbeya hivyo maendeleo hayo hayajatokana na mbunge,huu ndio ukweli,si ndiyo ndugu yangu!Nimemsikia Spika Ndugai wa jimbo la Kongwa amesema mh Mbowe alikuwa anazurura na hakuna alichokifanya wakati akiwa mbunge wa Hai kule Hai
Tunaangalie maendeleo katika majimbo mawili kwa wale waliowahi kufika majimbo haya mawili
1,Barabara za Halmashauri na TANROADS za Hai na Kongwa zikoje (Barabara za lami) ni km ngapi
2,Huduma ya afya,hospital, zahanati na vituo vya afya
3,Elimu,miundo mbinu ya shule za awali,msingi,sekondari na vyuo vikoje majimbo mawili
4,Maji,asilimia ngapi ya wananchi wa Kongwa na Hai wanapata maji safi,maji ya bomba na miundombinu yake
5,Shughuli za kibiashara,kilimo,ufugaji na kipato,na masoko,minada ,pia tuangalia ni Jimbo gani kati ya Hai na Kongwa kuna mazingira mazuri katika shughuli orodheshwa na kipato kutokana na shughuli husika
6,Watumishi wa umma,wapi watumishi wa umma wanapewa makazi bora ,support na matokeo mazuri kwa huduma zitolewazo na watumishi wa umma
7,Umeme,tuangalie usambazaji wa umeme wa REA na vijiji vingapi vimepata umeme kwa kila jimbo na vingapi bado
Wale ambao mnayafahamu haya majimbo haya mawili tunaomba mtuwekee data za majimbo haya mawili ili tuondoa utata wa walichofanya Spika Ndugai na mh Mbowe kwenye majimbo hayo mawili
Sasa kwanini Spika anamwonea sana Mbowe, kama vile amemzidi kila kitu?Hai maendeleo hakufanya mbowe kama mbunge ni wananchi walihamasika mapema kuwa na maendeleo ,ni sawa na Mbeya hivyo maendeleo hayo hayajatokana na mbunge,huu ndio ukweli,si ndiyo ndugu yangu!
KirikuuSio IST sema kirikuu.