Kongwa vs Hai ,wapi kuna maendeleo?

nDUGA
Nimemsikia Spika Ndugai wa jimbo la Kongwa amesema mh Mbowe alikuwa anazurura na hakuna alichokifanya wakati akiwa mbunge wa Hai kule Hai

Tunaangalie maendeleo katika majimbo mawili kwa wale waliowahi kufika majimbo haya mawili

1,Barabara za Halmashauri na TANROADS za Hai na Kongwa zikoje (Barabara za lami) ni km ngapi

2,Huduma ya afya,hospital, zahanati na vituo vya afya

3,Elimu,miundo mbinu ya shule za awali,msingi,sekondari na vyuo vikoje majimbo mawili

4,Maji,asilimia ngapi ya wananchi wa Kongwa na Hai wanapata maji safi,maji ya bomba na miundombinu yake

5,Shughuli za kibiashara,kilimo,ufugaji na kipato,na masoko,minada ,pia tuangalia ni Jimbo gani kati ya Hai na Kongwa kuna mazingira mazuri katika shughuli orodheshwa na kipato kutokana na shughuli husika

6,Watumishi wa umma,wapi watumishi wa umma wanapewa makazi bora ,support na matokeo mazuri kwa huduma zitolewazo na watumishi wa umma

7,Umeme,tuangalie usambazaji wa umeme wa REA na vijiji vingapi vimepata umeme kwa kila jimbo na vingapi bado

Wale ambao mnayafahamu haya majimbo haya mawili tunaomba mtuwekee data za majimbo haya mawili ili tuondoa utata wa walichofanya Spika Ndugai na mh Mbowe kwenye majimbo hayo mawil
Nimemsikia Spika Ndugai wa jimbo la Kongwa amesema mh Mbowe alikuwa anazurura na hakuna alichokifanya wakati akiwa mbunge wa Hai kule Hai

Tunaangalie maendeleo katika majimbo mawili kwa wale waliowahi kufika majimbo haya mawili

1,Barabara za Halmashauri na TANROADS za Hai na Kongwa zikoje (Barabara za lami) ni km ngapi

2,Huduma ya afya,hospital, zahanati na vituo vya afya

3,Elimu,miundo mbinu ya shule za awali,msingi,sekondari na vyuo vikoje majimbo mawili

4,Maji,asilimia ngapi ya wananchi wa Kongwa na Hai wanapata maji safi,maji ya bomba na miundombinu yake

5,Shughuli za kibiashara,kilimo,ufugaji na kipato,na masoko,minada ,pia tuangalia ni Jimbo gani kati ya Hai na Kongwa kuna mazingira mazuri katika shughuli orodheshwa na kipato kutokana na shughuli husika

6,Watumishi wa umma,wapi watumishi wa umma wanapewa makazi bora ,support na matokeo mazuri kwa huduma zitolewazo na watumishi wa umma

7,Umeme,tuangalie usambazaji wa umeme wa REA na vijiji vingapi vimepata umeme kwa kila jimbo na vingapi bado

Wale ambao mnayafahamu haya majimbo haya mawili tunaomba mtuwekee data za majimbo haya mawili ili tuondoa utata wa walichofanya Spika Ndugai na mh Mbowe kwenye majimbo hayo mawili
Ndugai kumshambulia mara kwa mara Mbowe kunamfanya adharaulike.Pingana kwa hoja siyo kwa kebehi.Dunia ya sasa ni hoja ka hoja.Siyo chuki kwa chuki.Wote ni Watanzania,nchi ni yetu sote.Utawala uliopita uliwaona wapinzani ni maadui wa kufilia mbali.Hoja kinzani zinaliamsha Taifa kimaendeleo.Kukomoana kwa sababu ya tofauti za kimtazamo ni kutengeneza chuki ambazo zikikomaa zitazaa visasi.Tusiende huko..
 
Hai imewahi kutajwa kiwa the most developed district in Tanzania hwa kufuata vigezo vya maendeleo....

Wilaya nyingine za Moshi zikifuatia....

Hichi ndicho kilimtesa Sana mwendazake akadhani anaweza kugeuza mizania kwa kutumia msuli., Na mabavu....moja ya dhaifu kubwa Sana.

Kumbe mabadiliko sio siku moja....ni perceprions na utayari wa wananchi kuwa sehemu ya maendeleo pia
 
Nimemsikia Spika Ndugai wa jimbo la Kongwa amesema mh Mbowe alikuwa anazurura na hakuna alichokifanya wakati akiwa mbunge wa Hai kule Hai

Tunaangalie maendeleo katika majimbo mawili kwa wale waliowahi kufika majimbo haya mawili

1,Barabara za Halmashauri na TANROADS za Hai na Kongwa zikoje (Barabara za lami) ni km ngapi

2,Huduma ya afya,hospital, zahanati na vituo vya afya

3,Elimu,miundo mbinu ya shule za awali,msingi,sekondari na vyuo vikoje majimbo mawili

4,Maji,asilimia ngapi ya wananchi wa Kongwa na Hai wanapata maji safi,maji ya bomba na miundombinu yake

5,Shughuli za kibiashara,kilimo,ufugaji na kipato,na masoko,minada ,pia tuangalia ni Jimbo gani kati ya Hai na Kongwa kuna mazingira mazuri katika shughuli orodheshwa na kipato kutokana na shughuli husika

6,Watumishi wa umma,wapi watumishi wa umma wanapewa makazi bora ,support na matokeo mazuri kwa huduma zitolewazo na watumishi wa umma

7,Umeme,tuangalie usambazaji wa umeme wa REA na vijiji vingapi vimepata umeme kwa kila jimbo na vingapi bado

Wale ambao mnayafahamu haya majimbo haya mawili tunaomba mtuwekee data za majimbo haya mawili ili tuondoa utata wa walichofanya Spika Ndugai na mh Mbowe kwenye majimbo hayo mawili
Ni kufananisha London na Kibaha.
 
Back
Top Bottom