- Thread starter
- #21
AiseeHii ndio Kongwa ,Mbunge wake Ndungai!View attachment 1751234View attachment 1751236
AiseeHii ndio Kongwa ,Mbunge wake Ndungai!View attachment 1751234View attachment 1751236
Daaah!!Hii ndio Kongwa ,Mbunge wake Ndungai!View attachment 1751234View attachment 1751236
Hapana jamani ushabiki tuache ni kulinganisha VXR na guta la Ilala sokoni.Sio IST sema kirikuu.
😂😂😂😂Hapana jamani ushabiki tuache ni kulinganisha VXR na guta la Ilala sokoni.
Mnaijua Kongwa jamani?
Everyday is Saturday............................... 😎
Shangaa na wewe ya jimboni kwa Ndugai! Walikula viwavi jeshi kama hawana akili nzuri! Halafubyeye mwenyewe akafanya siri lakini wananchi wakamwumbua!Mkuu, viwavi jeshi vinaliwa?
Hapa Boma sisi tuna Alkasusu bora zaidi kanda ya kaskazini! Tuendelee kutaja moja moja!Nimemsikia Spika Ndugai wa jimbo la Kongwa amesema mh Mbowe alikuwa anazurura na hakuna alichokifanya wakati akiwa mbunge wa Hai kule Hai
Tunaangalie maendeleo katika majimbo mawili kwa wale waliowahi kufika majimbo haya mawili
1,Barabara za Halmashauri na TANROADS za Hai na Kongwa zikoje (Barabara za lami) ni km ngapi
2,Huduma ya afya,hospital, zahanati na vituo vya afya
3,Elimu,miundo mbinu ya shule za awali,msingi,sekondari na vyuo vikoje majimbo mawili
4,Maji,asilimia ngapi ya wananchi wa Kongwa na Hai wanapata maji safi,maji ya bomba na miundombinu yake
5,Shughuli za kibiashara,kilimo,ufugaji na kipato,na masoko,minada ,pia tuangalia ni Jimbo gani kati ya Hai na Kongwa kuna mazingira mazuri katika shughuli orodheshwa na kipato kutokana na shughuli husika
6,Watumishi wa umma,wapi watumishi wa umma wanapewa makazi bora ,support na matokeo mazuri kwa huduma zitolewazo na watumishi wa umma
7,Umeme,tuangalie usambazaji wa umeme wa REA na vijiji vingapi vimepata umeme kwa kila jimbo na vingapi bado
Wale ambao mnayafahamu haya majimbo haya mawili tunaomba mtuwekee data za majimbo haya mawili ili tuondoa utata wa walichofanya Spika Ndugai na mh Mbowe kwenye majimbo hayo mawili
Hivi hapo ndo Sutendi eeeeh?Hii ndio Kongwa ,Mbunge wake Ndungai!View attachment 1751234View attachment 1751236
JangwaHii ndio Kongwa ,Mbunge wake Ndungai!View attachment 1751234View attachment 1751236
Hii hoja inanikumbusha zile Cinema za Cowboy miaka ya 60's...Farasi Mweupe na Farasi Mweusi yupi anakimbia zaidi...au ukiitwa Farasi ulikuwa huchukii lakini ole wake akuite Punda..Nimemsikia Spika Ndugai wa jimbo la Kongwa amesema mh Mbowe alikuwa anazurura na hakuna alichokifanya wakati akiwa mbunge wa Hai kule Hai
Tunaangalie maendeleo katika majimbo mawili kwa wale waliowahi kufika majimbo haya mawili
1,Barabara za Halmashauri na TANROADS za Hai na Kongwa zikoje (Barabara za lami) ni km ngapi
2,Huduma ya afya,hospital, zahanati na vituo vya afya
3,Elimu,miundo mbinu ya shule za awali,msingi,sekondari na vyuo vikoje majimbo mawili
4,Maji,asilimia ngapi ya wananchi wa Kongwa na Hai wanapata maji safi,maji ya bomba na miundombinu yake
5,Shughuli za kibiashara,kilimo,ufugaji na kipato,na masoko,minada ,pia tuangalia ni Jimbo gani kati ya Hai na Kongwa kuna mazingira mazuri katika shughuli orodheshwa na kipato kutokana na shughuli husika
6,Watumishi wa umma,wapi watumishi wa umma wanapewa makazi bora ,support na matokeo mazuri kwa huduma zitolewazo na watumishi wa umma
7,Umeme,tuangalie usambazaji wa umeme wa REA na vijiji vingapi vimepata umeme kwa kila jimbo na vingapi bado
Wale ambao mnayafahamu haya majimbo haya mawili tunaomba mtuwekee data za majimbo haya mawili ili tuondoa utata wa walichofanya Spika Ndugai na mh Mbowe kwenye majimbo hayo mawili
Kumbe vyoo tu ni shida KongwaKongwa ni moja ya wilaya zinazoongoza kwa ukosefu wa vyoo, hivyo ndugu zake Ndugai wengi wanakunya porini/vichakani
😂😂Kongwa kazi kurogana na kuzunguka Mibuyu usiku
Bado hata kirikuu ni gari kubwa.Sio IST sema kirikuu.
Movie ya Kula moja au Mambo yangu ndio sahihi hapa vpKongwa maisha magumu hadi wapiga kura wa Ndugai wanakamata viwavi jeshi wanawachemsha wanakula na ugali.
Sio shida tuu, bali ni utamaduni mpya kwao. Kuna watu huko kwa mbunge Job Ndugai hawajapata kutumia choo tokea wazaliweKumbe vyoo tu ni shida Kongwa